How to Fix Alert messege ( Duplicate headers received from server)

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
Wakuu Wenzangu kuna website moja kila nikifunguwa napa jibu hili ( [h=1]Duplicate headers received from server[/h]The response from the server contained duplicate headers. This problem is generally the result of a misconfigured website or proxy. Only the website or proxy administrator can fix this issue.
Error 346 (net::ERR_RESPONSE_HEADERS_MULTIPLE_CONTENT_LENGTH): Multiple distinct Content-Length headers received. This is disallowed to protect against HTTP response splitting attacks.) Nimejaribu kkutumia web Browser yangu ya google chrome inafunguwa hivyo hivyo na pia nimetumia Internet XPlorer mambo yenye hivyo je kuna mtu anaweza kunisaidia ku fivx haya matatizo? maana kile ninacho kitaka hakifunguki nawaombeni msaada wenu asanteni.................
 
Probably hiyo server ambayo hiyo website iko hosted is under attack kwenye headers thats why unaona hiyo message. Hilo tatizo sio lako...ni tatizo la server hivyo kama ni web host wako toa taarifa ili walishughulikie hilo tatizo.
 
pole,laikini mbona message hiyo imemtaja anayeweza kufix,angalia red highlighted words hapo juu.Tatizo liko huko website iliko wala si kwako.Relax kama unacontact za website au proxy administrator mtumie hiyo message atajua cha kufanya.
 
Mkuu Aqua Pamoja na hiyo (Only the website or proxy administrator can fix this issue.) Nitawasiliana kivipi ili nimueleze apate kujuwa kuwa kila nikitaka kujaribu kuifunguwa hiyo Web site haifunguki? hilo nalo ni neno? mkuu
 
Probably hiyo server ambayo hiyo website iko hosted is under attack kwenye headers thats why unaona hiyo message. Hilo tatizo sio lako...ni tatizo la server hivyo kama ni web host wako toa taarifa ili walishughulikie hilo tatizo.
Mkuu Young Master Nimekuelewa tatizo sio web host, tatizo litakuwa ni hiyo Forums ninayotaka kuifunguwa labda ipo Under attack wamerekebisha wenyewe wqenye hiyo forums yenyewe ni hii hapa Sekenke Forums. - Powered by vBulletin Asanteni kwa ushauri wenu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Aqua Pamoja na hiyo (Only the website or proxy administrator can fix this issue.) Nitawasiliana kivipi ili nimueleze apate kujuwa kuwa kila nikitaka kujaribu kuifunguwa hiyo Web site haifunguki? hilo nalo ni neno? mkuu

Duh, kama nimekusoma hivi,unamaanisha hata contents ambazo unaweza pata contact zao hazionekani,kama ni hivi inabidi utulie tu.Kama ni watu ambao wako serious na web yao lazima wanaiangalia mara kwa mara inawezekana wameshaona hiyo message na wako wanatafuta solution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…