baada ya watu kibao kushindwa kudownload torrent kupitia clients eg bitcommet na zinginezo, nikaona si vibaya kuwapa ujuzi niliopata katika pitapita zangu kuhusu jinsi ya kudownload torrent na client. fuata hatua zifuatazo.
1. tafuta anwani ya Proxy Server
unaweza kupata hapa list ya proxies kibao. ila mimi hupendelea ile ya circle of brain.
.
2. Fungua program unayotumia ya bittorrent
mimi natumia uTorrent. nenda kwenye options > preferences > connection.
. 3. ingiza anwani ya Proxy Server
kwenye Proxy Server chagua HTTP, kisha ingiza IP address ya proxy server uliyochagua sehemu ya Proxy. kisha ingiza zile tarakimu baada ya ":" sehemu walipoandika Port option.
mfano kwenye picha: anwani ya proxy server niliyochagua ni 112.65.135.54:8080.
.
4. Bofya Ok
Simple , bofya ok, hapo itakuwa tayari kupokea torrent files
.
mimi imefanya kazi vizuri mpaka sasa natumia :cool2:..........
Unatakia utueleze unatumia mtandao gani? halafu kingine proxy huwa hazina shida kama unazitumia kwa hali ya kawaida ila problem inakuja when it comes to free internet ya 0.facebook.com
Unajua mkuu when it comes to the proxies, na kudownload torrents ni very tricky and may be not possible at all, so em jaribu kuelezea kwa utaratibu mzuri ili tuweze kuelewa vizuri kabisa coz najua kua ni tatizo hlo kubwa sana tuu.