How to Designing Apps for Companies

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Habari Wakuu,
Jamani mnaoinaje hii idea.
Kuna baadhi ya makampun hapa tz yanatoa huduma mtandaoni kama za kibenki au insurance.
Mimi sio programmer, ila nawezatengeza wireframes ambazo zitasaidia kuweka idea into-reality with help of programmers.
Nataka design mobile app ya kampun flan. Then, nipresent. Na endapo wakikubali niwauzie.
Je procedures zake ni zip?
Niwaataarifu kwanza au niwatengenezee kisha niwataarifu?
And how do I approach them?
Thanks!
 
Hongera kwa kufikir kwa kina na kwa ubunifu pia
 
1. wapelekee wazo lako wakikubaliana na wewe
2. tengeneza trial version program wakiikubali na hii
3. wekeni mkataba,, kisha
4. publish full version...
 
Kubaliana nao kila kitu kabla ya kuanza kazi yoyote, otherwise utafanya kazi bure.
 
Mawazo yangu

1.Tengeneza a working prototype ya idea yako
2.Tengeneza a DEMO version ya hiyo App
3. Tayarisha few powerpoint slides( I recommend tumia Prezi - Presentation Software ili uonekane proffessional zaidi 🙂). Kwenye slides elezea kivipi kampuni itanufaika endapo wakiwa na a mobile version ya website yao (your App). Labda elezea interms of increasing sales au increasing customers through mobile?
4.(Pitching) Omba meeting na Kampuni (preferable IT manager au C.E.O) wakikubali nenda na Laptop yako(prefarable MacBook 🙂) waelezea idea yako kwakutumia slides na mwisho waonesha DEMO ili wapate kuona kidogo hiyo App itafanyaje kazi

Goodluck Mkuu
 
Asanteni wakuu kwa michango yenu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…