You are very right! Hua nina tabia ya kufuta temp files ila nilikua sina tabia ya kucleanup disk, sasa juzi nilikua na install Cygwin na nikawa nataka kuilink na Oracle's virtualbbox ikawa inagoma kabisa..yaani programs zangu niki run kwenye cygwin zinashindwa kufungua zile files za virtual box na nilikua nime update PATH env, katika kusoma mtu akasema ni clean registry na defragment disk, nikafanya hivo ikakubali ...nilishangaa!