Bila shaka hatutachekwa! kwa anayejua atusaidie pia na namna ya kubadili PDF kuwa word.Kwani binafsi imekuwa ikiniwia vigumu sana katika compyuta yangu inapofika kwamba natakiwa kufungua pdf file,huwa hayafunguki kabisa na sijajua tatizo litakuwa nini.Tafadhari wana JF(mnaojua) mtusaidie