Nimeshindwa kuconnect blackberry 9300 na psp go nahitaji kuingiza music,videos na pics via bluetooth na kubwa zaidi kutumia blackberry 9300 kama bluetooth modem ili niingie kwenye store ya kwenye psp go.
Nimeshindwa tumia wi fi sababu hii blackberry haina hotsport!
Natanguliza shukrani.