Ha ha ha! Msaidie mkuu, madongo ya nini tena?!rudisha tu simu ya watu. hiyo haiwezekani.
Ha ha ha! Msaidie mkuu, madongo ya nini tena?!
Kama seriously haujaiba then mwambie aliyekupa akupe used password ili uweze i unlock icloud,na ndio maaana tumesena umeiiba pale unaposhindwa wasiliana na aliyeitumia mwishoniHa ha ha sijaiba mwana...
Huu ulimwengu kwa wezi ndio kama hivi wanalia!!sooon kutiwa mbaroni!!!Shikamooo I phone
Kuna mtu aliomba assistance ya ku restore nimefanya nimekuta hapo nikashindwa... Kama ni kopo kama mnavosema basi acha akakae nalo mwenyewe.Kama seriously haujaiba then mwambie aliyekupa akupe used password ili uweze i unlock icloud,na ndio maaana tumesena umeiiba pale unaposhindwa wasiliana na aliyeitumia mwishoni
Na hii ndiyo sababu sitohama apple najua itakuwa yangu tu hata kama ichukuliwe