How To Breakup With A Woman......!!!!!


Umesema kweli mkuu, mara nyingi wanaume ni wagumu sana kusahihisha na kurekebisha mapungufu yao yanayopelekea mwanamke kufanya asiyoyapenda. Badala ya kukaa chini na kujiuliza kipi kifanyike ili makosa haya yasiendelee kutokea wao wanatafuta njia mbadala ya kuwa na mpenzi mwengine. mambo haya hutokea sana kwa wanandoa, wakikorofishana haoooo wanatafuta wapenzi wa nje. Mwoshi wa siku wanaambulia talaka na aibu.

VUNJA UKIMYA SEMA NAYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Just be a Man about it....and one day, she shall look back and appreciate the fact that you were honest with her. If she is the "loving" girl that you say she is....Mungu atamjalia na kupenda atakapopendwa.
 

Tatizo hili linakuzwa na vijana kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi au hata ndoa kwa kujaribiana mfano mvulana anamwambia msichana "Mimi nakupenda naomba tuwe wapenzi na kama tukiivana kitabia uwe mama watoto wangu" makosa hapa ni kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na mtu usiyemjua vizuri kitabia na pia kuingia kwenye ndoa na mtu anayetaka uwe mashine ya kuvyatua watoto wake........"Kwa sababu ya hii mimba inabidi tuoane ili kuficha aibu or lazima unioe kwani sina pa kuficha uso wangu mimba ikikuwa" Hapa kosa ni kwamba ndoa inajengwa na mimba hivyo mimba ikiondoaka ndoa hamna......"Umri wangu wa kuoa umefika nataka nikuoe au Mpenzi nioe basi maana umri wangu unapita nitachelewa kupata watoto" Ndoa imezaliwa na umri kupita vijana wanasema imefika saa 12 jioni ndio unaanza kupepeta kunde ni wazi utakula mbichi, umri wa mmoja wa wapenzi usizae ndoa. Ukiangalia mifano yote mitatu kitu kilichokosekana ni upendo...kama upendo haupo ni bora ukaishi mwenyewe kuliko kwenda kupata kiama cha mateso kwa mgongo wa ndoa au kushawishi ndoa.
 
If u are a stringer don't be getting into relationships - do not waste a good woman or man's time. Go for one-night stands... u will not need to break up with them!

Love is not like opening a faucet of hot and cold water. But the truth will set u free - send your most single handsome friend to tell her you are not into her and u never know they might hook up - you remain the looser...
 
hayo ndiyo mambo ya mapenzi, ni vzr kukubaliana na ukweli coz uwezi kuumia milele, ipo siku utasaha n life will move on, wanaume washenzi sana......mwambie ukweli dada wa watu achape lapa but wat goes around comes around
 

Tatizo wengi huingia katika mahusiano wakiwa na matarajio chanya, sasa wanapokutana na hasi ndipo wanapofikiria kuachana badala ya kutafuta suluhu! Ingawa kuna tabia zisizovumilika kama usaliti, lakini zingine ni za kuvumiliana na kurekebisha.

Wanafikiri kuna watu waliokamilika!!!!
 
we mchunie tu, hupokei simu wala hujibu text. siku hizi watu ndio wanaachwa hivyo, hakuna kugombana wala nini.
 
hayo ndiyo mambo ya mapenzi, ni vzr kukubaliana na ukweli coz uwezi kuumia milele, ipo siku utasaha n life will move on, wanaume washenzi sana......mwambie ukweli dada wa watu achape lapa but wat goes around comes around

Bold umekosea vibaya sana.
 
when u break up other wana unganisha na kuimarisha.swala la kuambiwa direct asee linauma sana ila ni safi.binafsi am rasterman sipendi kuumiza moyo wa mtu.so kabla sijaingia kwenye mahusiano nataka kufanya maamuzi sahii sitaki ku break other heart.NA TUMEFUNDISWA KUPENDA SIO KUUMIZA NA KUACHA.
 

His blood is on U
 

Jah rastafarai
 
Duuuh....hii inanihusu bse kuna dada nataka nimwache...after reading all posts i have to re think!
 
This is a very difficult situation you're in, my friend! Fact is, you love her no more... to be fair to us, why did you get yourself into her life in the first place? the hurt in her heart (after you 'dump' her) will remain with her for the rest of her life (mind you, 'them' ladies are very good at 'hiding' the pain, sometimes. So she could move on, get married to some 'dude' but her heart will always be somewhere else) you will have hurt that family too!

Chances are, you will love some lady who also has half a love for you and the circle continues! Make up your mind next time you indulge!! Don't break so many hearts, you leave us with wounded hearts to mend in the streets!!!:disapointed:
 
Getting dumped sucks, no matter how it's done.

Break-ups are never perfect,and they will never be perfect but if your a man enough

I would prefer to be told directly(in persons) see you in your eyes that your braking up with me!!!
ujasiri wako unanitisha mama!!!
 
wala usikutishe,ila its better that way
kweli ila wanawake wengi hawawezi kuface reality hiyo hasa anapokuwa kakupenda kikwelikweli,kama anatokea kule kwenye mikoa ya bridi walahi anaweza akajitundika juu ya mtu!!!!,ila tatizo kuu la mapenzi ni upofu kwa wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…