SMS huwezi kublock zaid zitjujia kwa njia ya spam box na sio inbox katika samsung tu, hiyo techno cjui aisee. Kwa calls ni rahisi kwenye samsung yako Kama kweli ni yenyewe yaan original Weka call reject kazi yako ya kuzuia cmu zinazokuja inakuwa kwisha
Aisee, nashukuru ndugu. Kwa upande wa TECNO TV70 nimefanikiwa, kuna ile sehemu ya BlackList, lakini kwenye Samsung Chat E222, nimeikuta ile sehemu ya Auto reject, sijafurahishwa na namna inavyokuwa. Inaanza kuita kwanza (ina-display number na hata ringtone pia) then ndo inareject.
So, kama kuna namna nyingine ya kublock completely kama ilivyo kwenye hii Tecno mtanisaidia sana. Sitaki zile unwanted calls kudisplay kwenye screen.
Msaada wenu tafadhari.
Labda uza simu ya samsung ununue zote techo,not necessarily zifanane na uliyo nayo sasa. ila yenye uwezo wa kublock kama utakavyo.
Au ukaongeze kijumba cha line kwenye iyo tecno,line zote ziwe kwa hiyo tecno.
Kama hujachange barring codes,try this *35*0000# to activate,and #35 *0000# to deactivate
Nb:hakuna atakayekupata on air
Vumilia mkuu kama hujapenda ushauri wake just mpotezee tuu kuliko kutumia energy nyiingi kumjibu.Ustaarabu ni kitu muhimu sana katika maisha. Jitahidi kuwa mstaarabu na jitahidi kuheshimu mtu hata kama haumjui.
Sijafurahishwa na kauli zako. Kama huwezi kunisaidia kaa kimya lkn si kuchangia kisichoeleweka.
Usipende kujifanya msemaji kwenye point waliozotoa wenzio, toa zako ueleweke, kama huna kaa kimya waache wenye kujua waseme.
Ndugu zangu naomba mwenye haya maujanja na maujuzi ya block zile Unwanted calls & SMS kwenye simu zangu. Kama kuna specific Codes naomba mnisaidie.
Natumia simu aina ya Samsung E222 na TECNO TV70. Mitandao ni Tigo, Airtel na VodaCom.
Ahsanteni jamani.
Shukrani sana ndugu yangu, ila samahani sana kwa usumbufu. Lengo lilikuwa ni block Unwanted Calls, lakini hapa nablock all incomings, vp hakuna namna namna ya kuselect specific number za kublock???
Mwenye ujuzi wa ziada tafadhari. Mwenzenu nimekaliwa kooni huku, kuna mtu ananisumbua sana hadi anataka kupelekea kuniharibia nyumba yangu.
Ustaarabu ni kitu muhimu sana katika maisha. Jitahidi kuwa mstaarabu na jitahidi kuheshimu mtu hata kama haumjui.

msigombane! Basi yaishe,kila mmoja kakosea na ndio ubinadamu1.naomba unieleweshe wapi sikuwa mstaarabu.2.wapi nilipokukosea heshima3.kauli zipi ambazo zimekutukana,kufikia wewe kusema hazijakufurahisha4.kwanini kama hujaelewa kitu usimuulize mtu alichomaanisha?5.kama ulitaka nisichangie kwanini usingeeleza mapema?6. Wapi nmejifanya msemaji?