Big Phil
Member
- Nov 20, 2019
- 50
- 339
God is good, baada ya kuangaika kwa kipindi kirefu kuparangana na CV, kutuma ma Applications ambayo hayahesabiki umeomba kazi kwa muda mrefu sana mpaka umekata tamaa, na sasa Mungu amejibu maombi.
Umetumiwa email au message kwamba umekuwa shortlisted kwa ajili ya kushiriki round one/ two oral interview na unafika tu chumba cha interview baada ya kukaribishwa chini, unaulizwa so Mr So and So tell us about yourself! Well this is very tricky question but very simple to answer. Kumbuka waajiri wana CV yako mezani wanakujua tayari ila focus yao wanataka kujua ujasiri wako, namna unaweza kuwasiliana.
Jinsi ya kujibu;
1. Taja Jina lako na elezea namna gani uzoefu wako wa zamani unaendana na kazi uliyo omba.
2. Elezea namna gani uwezo wako wa kazi na utolee mifano.
3. Elezea kwa namna gani unalijua shirika ama namna gani unaifahamu hiyo nafasi unayofanyiwa nayo interview.
4. Elezea vitu gani vipya utaviongeza, endapo utapata hiyo nafasi.
5. Elezea kitu chochote ambacho tofauti kianachoweza kukufanya utafautiane na watu wengine.
Kwasababu interview nyingi uwa na muda mchache akikisha unatumi dakika 2 - 5 kujibu hili swali.
NB: kabla ya kushiriki interview hakikisha unafanya utafiti wa kufahamu shirika ama taasisi, fanya maandalizi mapema (rehearsal your answers) na Mungu atakubariki sana. Go and get your dream job now.