Hope wote mpo wazima. Natafuta nyumba ya kupanga, lakini iwe maeneo ya kariakoo, but then kuna dalali mmoja kanikatisha tamaa kaniambia sintopata chini ya $600 mpaka $700 tena in dollars na hiyo ni bei ya chini. Sasa sijui ni tapeli tu au kweli?

wakuu, hebu wekeni sawasawa hii maneno.................... hizo dola 600+ ni ..........................
1. apartment ya ukubwa gani/vyumba vingapi? .....................au
2. ni floo space ya ukubwa gani? .....................
3. kwa biashara/ofisi au kuishi (residential)?.......................