mie nina wawili tu eti hadi sasa, sijui nitafikisha saba lini ngoja niongeze spidi maana umri unaelekea jioni
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...
jamani sa ndo umeamua kuzila????????????wazungu wanafiki.waongo,wazushi e.t.c. Nalog off
Wazungu ni waongo kupita maelezo,mleta mada anadhani siye waafrika tunafanana na hao wazungu,binafsi nishawabandua 100 and still counting. Hizo ni tafiti zinazowahusu wao zaidi yetu sisi waafrika. Nalog offjamani sa ndo umeamua kuzila????????????
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...
Aisee ni uncountable,wengine nimewasahau majina hata sura,
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for Health Statistics"
Nilikuwa naperuzi net nikakutana na hako katopic...so ile kauli ya kuwa wanawake wanaupendo wa kutoka moyoni, sasa inakuwaje bado wanagongesha mzigo nje ya ndoa/mahusiano...
Hiv watu mnaona misifa kuwa na sex partiners wengi? Ngoma inawaacha kweli?