Gajungi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 257
- 83
Inawezekana Wazungu walimpa Mandela too much respect na kumnyenyekea ili na yeye alainike kwenye baadhi ya core issues.. National reconciliation ni moja kati ya issue ambayo bado inawasumbua blacks.. Ila nao blacks wamekuwa wavivu sana.. hawajitumi na wanataka wapendelewe.. Mwisho wake wengi wao wamehamisha chuki zao kwa foreigners ambao wanajituma kwa bidii..
Mkuu uko sawa, hawa watu niko nao ni wavivu na baada ya kuwaona na kuishi nao zule movies za akina bushmen,Tazan, etc zina reflect nature ya hawa watu. Hii imetuaffect foreigners wengine tunaokuja kusoma hapa maana maprof wameshajenga vichwani kwamba foreigners wote ni wazembe maana hapawanakuita mSA ukiwa tu mweusi na hivi ukiwa foreigner+mweusi=mSA hence low marks ,little knowledge. Inatucost kubadilisha hii kitu.
Lakini kuna mweupe mmoja yupo nao{naye ni SAn.}lakini ana tabia ambayo inamtofautisha kabisa. Nilikaa naye nikamuuliza juu ya familia yake akaniambiakuwa ni mixture ya England and Newzland .Jamaa ni responsible na alinieleza hata yeye pia anahisi hiyo cultural clash.
So, hawa waSA wanahitaji elimu ambayo itabadilisha namna yao ya kufikiria na hiyo tabia ya makelele ,kunywa sana na crimes. Katika education ndipo tunaweza kuilaumu system nzima ya South.