JK bila Lowassa asingekuwa Rais..!! Hili liko wazi na kila mtu anajua..!!
Lowassa is the Most Genius politicians in Tanzania..!!!
JK bila lowassa amefanikiwa kuiweka CCM na nchi kwenye mikono salama bila kujali makubaliano au uswahiba wake na lowassa.
Jk aligundua usanii wa lowassa na akautumia na kumtema.
JK ndio anastahiki kuitwa political genious!
The 'haves' define themselves with UKAWA and the 'have nots' stick with CCM.
Nani huyo asiye na kitu kichwani?
Elezea uweleweke mkubwa..!
Ukishakuwa jinga lao unadumu kuwa mjinga. JK ni wa hovyo, mnafiki, hata siku moja hawajibiki kwa makosa yake. Hajui kwa nini Tanzania ni masikini. Wajinga kama wewe na wengine kwenye nafasi kubwa tu serikalini mmetupotezea fursa nyingi za kila aina za Tanzania yenye neema
Kwa akili yako unaona huyo ndiye aina ya kiongozi anayewajibika kitaifa?JK amevumilia mengi ambayo ni mabaya ya walio chini yake.
I dont understand this argument brought here because I dont see the connection between what the writer stated and the rest of the information in his thread
We kweli lofa.lowassa ana kura moja tu.haya sasa anagombea ajipe yeye huo uraisJK bila Lowassa asingekuwa Rais..!! Hili liko wazi na kila mtu anajua..!!
Lowassa is the Most Genius politicians in Tanzania..!!!
The 'haves' define themselves with UKAWA and the 'have nots' stick with CCM.
Kinje huyu huyu aliyemkubali Magufuli?
kwenye kupiga dili za kuuibia umma? au?Kikwete sio wa kumlinganisha na Lowassa.Lowassa ni namba nyingine kabisaa.
If Kikwete win this battle I swear the battle continues!!But this time will be "The have" and "The have not"..4 sure,Magufuli will never sustain and CCM will loose thereafter!!
Wabunge Deo Filikunjombe (apumzike kwa amani), Zitto Kabwe na Luhaga Mpina walikesha wakilinda ripoti ya kashfa ya ukwapuaji mabilioni ya pesa kutoka kwenye akaunti ya Benki Kuu ya Tanzania iliyojulikana kama Tegeta Escrow isiibwe.
Kacopy na kupaste hapa hana lolote ni empty kabisa huyu jamaa kichwani