Digital Marketer
Senior Member
- May 1, 2019
- 112
- 149
Yes.....
Kama heading yangu inavyosema.....
I blv kama imekua possible Kwangu why not to you....
Napenda ku network.....napenda kujisurround na watu ambao wamenizidi kwenye kila kitu......napenda kujitoa akili ili nipate nacho kiitaji....kwa njia halali lakini....
Mandeleo sio majengo....sio barabara.....sio hela.....maendeleo ni watu.....
Kitu nilichogundua kutoka kwa watu, awe mdogo ama mkubwa....awe masikini ama tajiri....ata awe Nani....kwa namna moja ama nyingine Ana mchango kwako......
So tujitaidi kuongea na watu....dharau, majivuno....weka pembeni....show a smile and see the response from your neighbor.
Aya turudi mada husika......
Juzi Kati nilipitia google....nikaona mahali kuna summit.....nikajiregister....then Nikaenda kuattend....
Yes....kulikua na a lot of investors....na wengi walikua rangi nyeupe....cha kushangaza.....wengi walio Jaa kwenye summit walikua neighbors wetu....kwa maana...wacongo....Kenya (kama kawa watu wa mafursa)....waganda....in short....wahusika ambao ndo sisi watanzania tulikua wachache sana....and literary the summit ilikua free....
Mda wa lunch ulipofika.....wale big investors wakaenda kukaa meza yao.....na watu wengine wakaenda kukaa kivyao.....inshort.....I blv ule mda wa lunch ulikua ni wakusocialize....na mimi kama kawa mzee wa kujitoa akili nikawafata kwenye meza yao.....
Walikua kama wanne hivi....afu Mimi mwenyewe tu,......afu wote ni big potatos....Mimi nilikua niponipo tu kama nimevamia meza.....
Wameongea wee.....mm nipo tu, nawapiga chabo.....baada ya so much silence....I was recognized.....and one asked me....
Who am I.....wapi nafanya kazi na alot.....I shared my all.....
Baada ya lunch.....nikamfata mmoja wao....coz hapo kwenye meza tulikua tumeshajuana.....
Nikamwambia....I need to be part of his team....and literally I really don’t know where to start.....
Thank goodness akua selfish......
Akaniambia anzia Hapahapa kwanza.....means Tanzania.....
Nikamwambia naanzia wapi Sasa nawakati mimi nakufaham wewe tu and I have no idea about the companies in Tanzania you guys are hooked up....
Literally niliamua tu kujitoa akili
The guy looked at me.....akachukua business card yake akanipa.....alafu akanipeleka kwa boss mmoja hivi wa kampuni moja Kubwa hapa tz.......akamwambia work on his issue....He needs a job.....and he is my friend.....am in for the cover and I personally recommend him to you.....and that’s was all.
The rest is history.
Literally Mimi mwenyewe nikaishiwa na pozi.....ni mda mchache tu tangu nifahamiane na uyu mtu.....and now am in for a job.....
Somo....
Kusoma na kua na GPA nzuri sio mwisho wa struggle......socialize na watu in different ways.....Kama hivyo visummit....Na viconference vya bure...Hata vya kulipia kama unaweza....
Jitoe akili.....mda mwingine fanya vitu Hata akili yako ikiwaza Inasema kweli hiki nini......
Be different.....we literally are unique.....sema wengi tupo devalued becoz of our norms......ila ukicherish uniqueness zako blv me....life will be worthy it.
Aim higher and let the universe work it’s miracles (wachache wataelewa hii).