How do you handle being an introvert?


Stranger: Why don't u have any friends?
Me: Starts singing this song
 
Tafuta hela dogo uwe na kwako ukiishi kwenye hizi nyumba zetu za uswahilini na huo I introvert wako utafanyiwa kitu kibaya na hawa wadada wenye mistress ya kuolewa
 
karibu tuwe marafiki then tudevelop solutions toward complex problems.
Ninapenda kusoma na kujifunza zaidi katika maeneo yafuatayo:
-business,engineering and technology.
 
Tafuta hela dogo uwe na kwako ukiishi kwenye hizi nyumba zetu za uswahilini na huo I introvert wako utafanyiwa kitu kibaya na hawa wadada wenye mistress ya kuolewa
Hao wadada huwa hata hatuongei nao sasa sijui watatufanya nn emb elezea kidogo
 
I'm also an introvert (24-28 yrs male), you are not alone. Mwanzoni ilinisumbua nilikuwa najiona kama nipo tofauti kwenye jamii ila baada ya kusoma articles mbalimbali online kuhusu introversion ndio nika understand personality yangu.

Chuo nili cope fresh nilikuwa busy na masomo with few meaningful friends. Ratiba ilikuwa kusoma, movies, story with friends, gaming, church repeat...

Now nina kazi yangu ni IT with two years experience on the job

Mara nyingi nikitoka kazini ni moja kwa moja ndani, tofauti na shughuli za nyumbani ninaweza nikaendelea na personal projects zangu tu basi.

Natambua umuhimu wa social interaction so mara moja moja huwa na visit friends during weekend au nawa invite kwangu

Kwenye issue ya kumeet with more people kama walivyoshauri wadau ni kweli ipo hivyo... talk to more people... the more you talk to many people the more friends you make.. niliupata ushauri huu online nikawa najaribu nikawa na uthubutu wa kumu approach mtu na kuanza maongezi naye... unaweza ukakuta mna similar interests na akawa friend

Hiyo ya watu kukuona kama unajidai au una dharau kwa sababu ya kutokujichanganya nao hata mimi imenitokea mara nyingi tu ila kumbe sio hawajui tu kuwa huwa tunapenda sana ila kwa personality yetu huwa inatuchukua muda kidogo kufunguka na kuwa conformable around them
 
Our culture made a virtue of living only as extroverts, and this might be one of the good payment free advice
Join any sport/health clubs to meet different people and share ideas,involve yourself into social community activities. That's very simple
 
You should stop labeling yourself as an introvert, get out of your head ,na ujifunze kuwa mtiaji wa stories
it works well though
 
Sometimes people are not introvert in nature. They are depressed and unhappy and need support.

So jichunguze sana kabla haujaanza kujiita introvert na kumbe una matatizo.
 
Njoo pm nitakusaidia kutatua changamoto dogo km iyo
 
Something of nature or unconsciously Gained thru life experience....most of time when you trust no one due to hypocrisy of people in times of ups & down...


Introvert people are hardly be broken...coz expect nothing from anyone
 
Kuna kosa kubwa kudhani kuwa kuwa na aibu ni moja ya caracter za introverts. I am an introvert and at the same time I feel so confident of myself. Kiufupi huwa napenda kuwepo mahali for a reason, si mtu wa pic nics sana japo nimejiwekea mara chache na huwa nipo very fun kwa marafiki wachache wanaonijua.

Kuwa Introvert si ugonjwa na huwa nafeel so proud of that. Muhimu ni kujifunza kufit kadiri ya mandhari unamokuwemo. Usijefanya kosa eti uonekane extrovert utakuwa kichekesho. Extrovert naye anabidi ajifunze kuwa introvert kwa baadhi ya mambo. Hapa namaanisha kuweka uwiano sawa kwenye wasihi wako.
 
Well said buddy. I learnt to enjoy beeing introvert and I can tell you I really feel good of it. I have as many skills as any person would want to. I am full of energy and confidence which makes me so happy.
 
Mimi niko shy hadi aibu jamani, imagine nashindwa kusalimia mtu ambaye simjui, labda awe mtu mzima nimpe shikamoo lakini sio mtu wa rika langu.

Naweza kusema nina rafiki mmoja best, na wengine wachache sana, wanahesabika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…