F100 Maziwa Mazito
JF-Expert Member
- Jul 31, 2020
- 209
- 381
Ww general anesthesiaIntroverts are people who prefer time for themselves, few circle of friends, in short people who are not social because of being shy/quite/.
I think I have this personality,and it cost me as I feel like I don't have a life after work hours.
I need advice on how to train myself from being introvert..so that I may be able to socialize,meet people and make friends.
Here is the correct definition of an introvert! kimsingi being an introvert is more safe in the current world than being exposed, the best thing for her is to focus on her carrier na maswala mengine yanayohusu maisha yake, hao friends watakuja ambao ni potential ktk circle ya kile anachokifanya.Wengi mnajinasibisha na kujiita introverts lakini ninyi si introverts halisi. Na ndio maana mnalalamika etI mnaona tabu kutochangamana na watu.
Kwa introverts hasa wa ukweli, kutochangamana na watu ndio ukamilifu wao na wala hilo hawaoni tabu kwao. Yaani ni sawa na samaki kuwemo majini, yaani humo ndio kwenye ukamilifu wake...wala hatohitajia kwenda nchi kavu.
Na sio kweli kuwa ukiwa introvert unakuwa nyuma ya dunia (mawazo ya kizamani). Bali unakuwa na fursa ya kujisomea sana ukiwa mfatiliaji wa mambo/news.
Ukiwa introvert unakuwa na marafiki wachache lakini wa maana na ukweli...sio utitiri wa marafiki takataka. Kuwa na marafiki wachache wa maana kunaokoa muda (stori nyingi za vijana wa kileo ni pumba, udaku na uasherati) ambao badala yake utautumia kwa mambo ya faida.
Kuna tofauti ya introvertism na Depression. JikagueThank you all,I can't thank one by one.
Each one of you,have been helpfull,thank you all for great advice.
How old are you maam?It is not depression, am doing my job well,and am not sad.I think other people have understood me well,and I have understood their advices.
Daah nilitaka nikushauri lakin nikaona kumbe tayari unafanya kaziIt is not depression, am doing my job well,and am not sad.I think other people have understood me well,and I have understood their advices.
Want to advise you...... the advice has to be proportional to your age.What do you want to role out?
Oouh....(24-28yrs)
Duuh kivip yan mimi nipo university halii hi inanitesaa sana sasa kama wewe umepita university huko kazin inakushinda nnAt university mda wa socialization ni mdogo sana(it depend na course)
The procedures are just simple as peeing.Give me tips on how to click it