alikufa kwa ngoma au nini...
Thank you. Hivi ukifa kwa ngoma ndo unakufa zaidi ya wengine au?Wewe mzima kweli?
Mwenzio anahuzuni unamletea habari za ngoma!
Midundike ulimpelekea wewe au?
Nachukia watu wanaoleta utani ktk serious matter!
Go to the hell sucker!
...
Pole sana Karucee!
Vumilia tu mwaya, i hope mda utakusahaulisha yote hayo!
Just piga moyo konde!
Wote tutakufa na hakuna atakae baki!
...
Pole sana!
Accept it
Unachotakiwa kufanya sasa ni kuliaaaaaaaaaaaa hadi nafsi iridhike, kwa kulia unarelease uchungu (maana umesema hukulia)
Lia kadri uwezavyo
Na kubali hali halisi
Inaweza kuchukua miezi au hata mwaka inategemea na jinsi mlivyokuwa karibu, ila you will be ok
Thank you. Hivi ukifa kwa ngoma ndo unakufa zaidi ya wengine au?
Sawa kabisa jirani.Jirani pole sana,
Jifunze kuishi nje ya uvuli wa mambo mliokuwa mkifanya pamoja.
Pia usipende kuwa sana idle, hii itakupa muda mrefu wa kuwazua.
Mwisho jaribu kujiaminisha kuwa rafikiyo hayupo tena, jaribu kukubali kuwa kifo kipo karibu yetu na kila mtu mwenye uhai ipo siku atatangulia.