How do I delete/stop autostart programs on my pc?

How do I delete/stop autostart programs on my pc?

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
Kila nikiwasha mashine yangu kuna programs zinastart tena zingine hata cjui zilitoka wapi kwani sikuziinstall mfano ni "marketresearch" ambayo huanza kuinstall everytime nawasha mashine na siku hizi pc imekuwa very slow na sometimes hata nikiplay audio au videos zinascratch kama cd mbovu na mashine inastuck ovyo natamani kuformat ila window 7 ginuine imekuja na mashine nahofia kuipoteza.
Msaada wenu wana jamvi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
click start then click button ya run kisha type 'msconfig' kutatokea box linaloonyesha start up programs then uncheck program zote ambazo hutaki ziwake unapowasha computer.
 
Nashukuru ngoja nifanye hivi. Thank u very much


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Download CCleaner utaweza kudisable au kufuta hizo start programs kwa urahisi pia na mengine mengi sana... CCleaner - Download

Nimedownload na nimeanza kuitumia naona sasa nikiclean na hizi application maanake ntazidelete au inafanyaje hiyo cleaning nisije poteza programs zangu. Naomba maelekezo zaidi.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
TRUCKDRIVER kakupa best solution kaka we nenda kwenye command prompt kisha futa maelekezo hayo ni rahisi na secure
 
nenda start then sehemu ya kusearch andika ms config then press enter.. Untick program ambazo hutak ziwe zna run.! No need of third part software for this
 
TRUCKDRIVER kakupa best solution kaka we nenda kwenye command prompt kisha futa maelekezo hayo ni rahisi na secure

Nishafanya hivyo ila kuna program inajiinstall kila nikiwasha mashine na sikuidownload wala sijui ilikotokea inaitwa "MarketResearch" hii ndo bado sijaweza kuistop na hata nikiacha haimalizi installation inadai cd.
Pia lile tatizo la pc kuscratch na kustuck kwa muda nnapoplay video au audio bado halijaisha. Msaada zaidi tafadhali

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom