How can i get rid of him???!! Please advise

Hahaha kama movie vile...
 
My dear if he really is a serious threat I suggest you report him to the police ASAP just to be on the safe side...u never know what he is thinking and what he is capable of!!!
....Atakusumbua weee mwisho hata kwenye masomo ushindwe kuconcentrate.Pole lakini.
 
Duh!!!!!!!asante
 
Sijakutana nae face to face since the incident

Akija either hua sipo nyumbani au sitoki ndani
Hapa ndio penye shida mwenzio anahisi unamuogopa au bado unampenda au umesusa tu. Ni vizuri ukamface na kumpa makavu laivu yaani macho kwa macho. Mwambie kistaarabu kwamba humuhitaji tena na kila mmoja ashike lake. Kuwa bold mface ukiwa huna hasira wala gadhabu naamini kama ana akili timamu atakuelewa iwapo ataendelea basi mripoti kwa wanausalama.
 
Simple, summon him with a witness his close friend or something, draw a clear line of what's not acceptable
 

Mkabili tu ana kwa ana na umweleze kuwa imekwisha. Ujasiri wako ndio utakusaidia wala hakukuwa na sababu ya ' kumkimbia' kwa kubadili contacts zako maana ingekuwa ni ushahidi mzuri pindi anapokutisha au kuku-harass.

Mwisho, rudisha contacts zako za awali ili ajue kuwa humwogopi wala kumkimbia. Baada ya muda lazima atachoka, kukata tamaa na kuendelea na maisha yake na kuachana nawe moja kwa moja.
 
tumpe ushauri wenye mashiko jamani yuko kwenye hard time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…