loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,784 Reaction score 6,401 Mar 8, 2026 #1 Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni? Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule. Wamemuachia tu mwenzao Hezbollah anayejitahidi kurusha vimondo kinyonge. Houthi waache uwoga bana Iran baba yao kawasaidia sana. Adiosamigo gTurn Ritz kimsboy gallow bird adriz de mbusii
Wale wanamgambo wala mirungi wa Yemen tangu Iran kubondwa na Wateule na Marekani wamekuwa kimya kulikoni? Ni zaidi ya wiki sasa hata kimondo hawajarusha kuelekea ardhi tukufu, takatifu na teule. Wamemuachia tu mwenzao Hezbollah anayejitahidi kurusha vimondo kinyonge. Houthi waache uwoga bana Iran baba yao kawasaidia sana. Adiosamigo gTurn Ritz kimsboy gallow bird adriz de mbusii
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 29,730 Reaction score 47,275 Mar 8, 2026 #2 Mkubwa wake iran anapigwa pande zote na yuko hoi, yeye atafurukutaje?
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,435 Reaction score 51,516 Mar 8, 2026 #3 Iran hajaomba msaada
loose Nut JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 2,784 Reaction score 6,401 Mar 8, 2026 Thread starter #4 Mr Q said: Iran hajaomba msaada Click to expand... Lakini Houghi huwa wanapenda kujipendekeza pendekeza bila hata kuombwa msaada. Muoga tuu anajuawa akithubutu moto wa vijana wa Mungu wa kweli ulivyo. God bless and protect Israel. Huniambii kitu kuhusu Mungu Yesu na Israel. adriz de mbusii
Mr Q said: Iran hajaomba msaada Click to expand... Lakini Houghi huwa wanapenda kujipendekeza pendekeza bila hata kuombwa msaada. Muoga tuu anajuawa akithubutu moto wa vijana wa Mungu wa kweli ulivyo. God bless and protect Israel. Huniambii kitu kuhusu Mungu Yesu na Israel. adriz de mbusii
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,900 Reaction score 4,663 Mar 8, 2026 #5 loose Nut said: Lakini Houghi huwa wanapenda kujipendekeza pendekeza bila hata kuombwa msaada. Muoga tuu anajuawa akithubutu moto wa vijana wa Mungu wa kweli ulivyo. God bless and protect Israel. Huniambii kitu kuhusu Mungu Yesu na Israel. adriz de mbusii Click to expand... Huyo Mungu hana wanaomwamini ndani ya Iran?
loose Nut said: Lakini Houghi huwa wanapenda kujipendekeza pendekeza bila hata kuombwa msaada. Muoga tuu anajuawa akithubutu moto wa vijana wa Mungu wa kweli ulivyo. God bless and protect Israel. Huniambii kitu kuhusu Mungu Yesu na Israel. adriz de mbusii Click to expand... Huyo Mungu hana wanaomwamini ndani ya Iran?