Houth wanachezea Shurubu za Simba!!

CCM niyakueshimiwa mfano yule kijana wa KTZ ambae alikwenda uko ISRAEL adi leo ajulikani yupo wapi japo alishafika uko Israel kwaamaana nyengine yule kijana angebaki tz leo angekuwa yupo hai tunaongea kuusu Simba na Yanga.
 
Ccm kwenyewe wanatekana lakini wewe ulivyo zuzu hayo Huyaoni.
Usalama kwanza mambo mengine baadaye!!!
 
Watu wanatekwa na kupotezwa wewe hujui!!
 
CCM niyakueshimiwa mfano yule kijana wa KTZ ambae alikwenda uko ISRAEL adi leo ajulikani yupo wapi japo alishafika uko Israel kwaamaana nyengine yule kijana angebaki tz leo angekuwa yupo hai tunaongea kuusu Simba na Yanga.
Kifo hakipo Israel tu hata huko kipo mtu anaweza kufa au kuuwawa popote shida iko wapi?? Na ccm unaiheshimu wewe wengine tuna chama chetu kitukufu!!
 
Mwarabu yupi mm simwabudu mwarabu kabisa!!!! Ndio ukaona nww umwabudu Mzungu!!!!!!!!! Haaaaaaa sasa nimeelewaa!!
Ila utamaduni wao ndio unaoabudu hadi jina umechukua ya kwako kwa kudanganywa kwamba hayo ndio majina ya kumwingiza mtu akhera.🤣🤣🤣
 
Huwezi ingia front na yahudi bila baba yao kuwasaidia.Kitu kipo ila kimeubeba uZungu ndani ya Israel.
 
Huwezi ingia front na yahudi bila baba yao kuwasaidia.Kitu kipo ila kimeubeba uZungu ndani ya Israel.
Ndio maana nilianza na, " binafsi napenda kuushirikisha ubongo wangu...." nikatoa na facts kadhaa, ninazo facts zingine lakini kwasababu ya mitazamo ya kidini, tuishie hapo
 
naskia Benja tangu juzi kila akimpigia Trump amuongezee msaada wa silaha hampati,si tigo,voda wala airtel shida nini tena!!!
 
naskia Benja tangu juzi kila akimpigia Trump amuongezee msaada wa silaha hampati,si tigo,voda wala airtel shida nini tena!!!
Endeleeni kujitekenya harafu mcheke wenyewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…