Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,450
- 46,220
Sababu hujielewi,unaona hiyo nchi haifai huku ukiendelea kuishi nchi ya CCM.Hiyo nchi sio yakuishi kwani Wazungu wamekosa Seem ya kuishi mbona kama wanadhalilika sana,, au nimimi tu ndio nawaza ivyo.
Siku israel akioigana na nchi zenye jeshi lamaana kama uturki na iran ndo unaweza kufanya mlinganusho na sio hivyo vikundiHebu tuweni wakweli guys, bila kua na mihemko, mahaba wala chuki; nchi ipo vitani na majirani zake karibu wote, yaani Iran, Lebanon, Yemen, Syria na bado wananchi wake wanaweza kwenda beach kufurahia maisha? Halafu ki nchi chenyewe sasa, kama mkoa wa Dar es Salaam. Hivi inawezekana wapi pengine hali kama hiyo?
Umempa za uso!! Mwenye masikio na asikie ukweli uliompa!!Binafsi huaga napenda kushikirisha ubongo wangu kwa kila ninacho kisikia na kukiona, yawezekana kweli Marekani anawasaidia Waisrael but not to that extend bro.
1. Askari wa IDF ni Wayahudi pure, sio wa kukodi
2. Iran iliwahi kuchokozwa na USA na Iran ilijibu, hadi leo is like USA hataki ugomvi na Waajemi wale, sio Wayahudi. Wayahudi wanajipigiaga Iran wanavyo taka, wameua viongozi wa Hamas wakiwa kwenye ulinzi mkali na tena jijini Tehran, wameua rais wao, wameua wana sayansi wao tena nyumbani kwao na makao makuu ya serikali, wamepiga sehemu muhimu za ki ulinzi za Iran na Iran kaufyata, yaani Iran ni rahisi kulipiza kisasi kwa USA but not Israel. Bado utasema hawa wana tegemea msaada kwa 100%? I doubt.
3. Houthis wamempeleka mchaka mchaka USA, wamejaribu kum beep Yahudi just once; salamu walizo zipata hawana hamu nae. Bado utasema hawa wanategemea msaada pekee yake from USA? You can fool anybody any time but you cant fool yourself everytime bro. Jamaa wana kitu, hawa wana uwezo, tusidanganyane. Ukraine imesaidiwa na mataifa yote ya NATO but bado imeshindwa kukomboa hata jimbo moja, sio Yahudi
Iran kapigwa na aliahidi The Promise-3 lakini kaona mlima mrefu kaamua kuiterekeza hiyo The Promise-3 kwa sababu anajua kitakachomtoka!!!Siku israel akioigana na nchi zenye jeshi lamaana kama uturki na iran ndo unaweza kufanya mlinganusho na sio hivyo vikundi
Wajinga mtawadanyana sana tu!! Ukweli Wahouth wenyewe wanajua maumivu waliyonayo!!!Mtu kachomoa betri..
Yemen denies there were Israeli airstrikes targeting Ras Isa oil port - report
Rather than an airstrike, an explosion at the port occurred after a tanker carrying fuel exploded.
By JERUSALEM POST STAFFMAY 10, 2025 02:30Updated: MAY 10, 2025 03:22
Daaah! Kumbe uislam ni utamaduni wa kiarabu? Kwa hiyo mtu mweusi kuwa muislamu ni sawa na mmasai kuwa mzalamo sio?Ndio ni wewe tu ndio unawaza hayo kwani hata waarabu unaoabudu utamaduni wao leo hii hawana hayo mawazo.
Hulali jombaa?Wajinga mtawadanyana sana tu!! Ukweli Wahouth wenyewe wanajua maumivu waliyonayo!!!
Kwani huko ni saa ngapi?Wewe umelala?
Kuna watu broo vita ni kawaida na maisha yanaendelea vingo'ra vikilia wanaingia kwa Mashimo dk 10 wapi sokoniSwali bado ni lile lile tu; nchi gani nyingine inaweza kupigana na vikundi vyenye uwezo wa kurusha maroketi ya masafa marefu, kudungua ndege both drones na ndege zingine za kivita, vikundi vinavyo weza kupiga hadi nyambizi za USA na kumzuia USA asipitishe meli zake, halafu vikiwa vina uwezo wa namna hiyo, mpinzani wake raia wake wanakwenda beach kustarehe na kula maisha kawaida? Nitajie nchi moja tu duniani hapa
And you failed to mention at least one country appart from Israel?Kuna watu broo vita ni kawaida na maisha yanaendelea vingo'ra vikilia wanaingia kwa Mashimo dk 10 wapi sokoni
Ndio maana yake.Daaah! Kumbe uislam ni utamaduni wa kiarabu? Kwa hiyo mtu mweusi kuwa muislamu ni sawa na mmasai kuwa mzalamo sio?
Mwarabu yupi mm simwabudu mwarabu kabisa!!!! Ndio ukaona nww umwabudu Mzungu!!!!!!!!! Haaaaaaa sasa nimeelewaa!!Ndio ni wewe tu ndio unawaza hayo kwani hata waarabu unaoabudu utamaduni wao leo hii hawana hayo mawazo.
Ndio ayo maisha wanayoishi mbiooo mbiooo kila dkk kwenye mashimo kama panya au yule ngili kasongo yeyeee!!!!!Hebu tuweni wakweli guys, bila kua na mihemko, mahaba wala chuki; nchi ipo vitani na majirani zake karibu wote, yaani Iran, Lebanon, Yemen, Syria na bado wananchi wake wanaweza kwenda beach kufurahia maisha? Halafu ki nchi chenyewe sasa, kama mkoa wa Dar es Salaam. Hivi inawezekana wapi pengine hali kama hiyo?
CCM imetuakikishia Usalama nataka nn tena siwadai kitu maendeleo ni juhudi zangu mwenyewe kuukimbia umasikini !!!!Sababu hujielewi,unaona hiyo nchi haifai huku ukiendelea kuishi nchi ya CCM.