Ka2pain Member Joined Apr 19, 2011 Posts 97 Reaction score 26 Dec 7, 2011 #1 HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON. Natanguliza shukrani za dhati
HAbari zenu wanaJF. Nina laptop yangu imeungua housing(cover) lake. napenda kuuliza kama huwa zinapatikana na kama zinapatikana ni maeneo gani? mimi nipo Dar na laptop yangu ni DEll INPIRON. Natanguliza shukrani za dhati
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Dec 7, 2011 #2 tunayo ila tupo arusha.
B barach pwm Member Joined Sep 2, 2012 Posts 43 Reaction score 5 Apr 18, 2014 #3 Ndugu zangu nami housing ya laptop imepata shida., wapi zinapatikana,.HP NOTEBOOK 630. Nipo Morogoro