Heshima kwenu brothers and sisters,
Polen sana na majukumu, inshort mi ni kijana wa kiume 25yrs of age, natafuta vijana wenzangu 2 na mimi wa tatu, wanaoanza safari yao ya maisha ili for arrangement tupange a full house, with water and electricity, fenced then tugawane vyumba tuishi pamoja, as kutafuta small apartment nzuri ni kazi sana na pia ni expensive ukilinganisha na kupanga nyumba nzima katika maeneo mazuri yanayofikika kwa urahisi muda wote,
House should be around survey, sinza ya m city, mwenge, bamaga or makumbusho/k nyama, kwa research yangu through madalal unakuta 2 rums apartment with jiko inapangishwa lak around lak 2, wakat nyumba nzima ni 300-400, so tukiwa wa 3 its cheap and safe..
Aliye interested ani pm na itapendeza tukiwa age mates btn 25-28 tena bachelors so that rahis kuelewana, also wakiwa ni graduates wanaojiendeleza na masomo awe proffessional examz nitafurah zaidi as company ya kupiga msuli after work itakuwepo.
Nb: tutambuane shughuli zetu first tutapoonana for arrangements as tusije tukaleteana matatizo
Ni wazo tu wadau kama unapinga ipotezee
Ni wazo nzuri sana kwa maisha ya sasa, ila inabidi ukiwapata, mkikubaliana kukaa pamoja inabidi uandae kamkataba kenu wenyewe watatu au wawili mbali na mwenyenyumba, Kwani wenye nyumba wengi huwa wanataka kupangisha mtu mmoja tu. Nakwambia hivyo kwani yamenikuta mimi na niliokuwa na kaanao wamekimbia mpaka leo amelipa mmoja mwingine kala kona. Watu wengine wanakuwa wazuri siku mbili tatu akikubadilikia hapo utashangaa mwenyewe, yaani ndugu yangu mambo ya kukaa pamoja watu wenye tabia tofauti ni kazi kubwa sana, Labda ukitaka mkae watu wawili tu wasizidi watatu, na kwambia hivyo sababu yamenikuta, Uwe makini sana sana
ila uwe makini mnaweza mkawa wengi..mmoja wenu akawa sio mwema.. nyie mmeenda kazini yeye huku nyuma akaja na fuso akawaachia nyumba kama msikiti...