pole sana
hii usiwe km kawaida kwa wanaume wote,
vip utaruhusu mdogo wako wa kike aje akae kwako, ambae unahis analipa kuliko ww?
sasa msaada wangu kwako ni-pm then nitakusaidia kumfanya HG wako asipate asipate tamaa hata mumeo akimtokea apigwe kibutiNimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
Kwa nini uhusumbue moyo wako bila sababu,mimi nakushauri umfute kazi ili uishi kwa amani!!
Acha upumbavu wewe....! Muhimu ni watoto au house girl??? Au mumee...jibu ni watoto mpende huyo dada watoto wako wawe salama mume kitu gani banaaa...
muite, uongee naye kama binti yako halafu umwambie jinsi gani unamuona kama binti au mdogo wako na umwambie jinsi gani wanaume wanakuwa dhaifu; so awe makini just in case baba anaanza kumwangalia kwa macho ya uchu. Muibie siri kuwa 'mumeathirika' na kwamba hupendi naye awe victim.[/QUOTE]
kwi kwiiiiiiiiii.... hapo pa bluu umenichekesha. BTW kama ana uelewa mdogo kuhusu ukimwi si ndo utakuwa ume mkimbiza... ataogopaje.
hilo ndio neno au wekeni h/girl na h/boyhalafu house boy awe mzuri kuliko mume wake.
hilo ndio neno au wekeni h/girl na h/boy
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA