Have a system in place to ensure that everything is otherwise mambo yanaweza kuharibika maana sisi akili zetu inapofika issue hizo zinakuwa kama za panzi tu.Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
Halafu house boy awe mzuri kuliko mume wake.
mrudishe ajiri house boy
Nimeajiri housegirl ila sina amani sana mana mie nafanya kazi na Mr ni business man anatoka baada yangu na msichana ni bomba ila yuko poa anafanya kazi je kutakuwa na usalama BAADA YA MIMI KUTOKA
hapo kwenye redmuite, uongee naye kama binti yako halafu umwambie jinsi gani unamuona kama binti au mdogo wako na umwambie jinsi gani wanaume wanakuwa dhaifu; so awe makini just in case baba anaanza kumwangalia kwa macho ya uchu. Muibie siri kuwa 'mumeathirika' na kwamba hupendi naye awe victim.
hapo kwenye red
atauza cd mtaan, alaf baba asikie hg anatangaza wameathirika!!!
amweke kati hg akubali kuwa ww ndo ulimwambia, patachimbika aisee!!!
hiv unafikir ww ulikuwa mzur kuliko wanawake wote mpaka akakuoa ww?
hapa mnatudhalilisha sie wanaume as if hatuwezi jicontrol,
mbona kila mahali tunakutana na wanawake lakin hatuwalali?
Akina mama/ dada jiamini kuwa mnapendwa jaman
pole sanaNilikuwa najiamini hivyo hivyo mpaka msichana wangu alivyoondoka na mimba, ambapo sikuhisi kabisa; jamaa ninayemliza kila siku kuwa ndiye aliyemmimba.