House of the Dragon Special thread

The Rings of Power bado sijaiona,
Nikiitizama nitarudi kukupa maoni yangu
 
Nimeipa 9/10,
Daemon kanifurahisha sana,
Ila King yuko weak sana hadi anakera bora amuachie Mtoto wake wa Kike angalau
Mtoto wa kike ndo choosen one kwaajili ya Iron throne kama uliangalia Kwa makini umeona Yule mnyama mweupe (White Hart) alitokezea kwake wakati kwenye mawindo ya kusheherkea Yule mtoto wa kiume wanayetaka awe king (Aegon II) hawakupata White Hart walipata brown Hart.
 
Ep, rate 9/10

Daemon [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Daemon mnyama Ila scene niliyopenda zaidi ni pale princess alivyokua anarudi kutoka porini akiwa na wild boar kwenye farasi.
 
[emoji3544] SPOILER



The true heir[emoji91][emoji91] | Before the dragons ruled over Westeros, the white hart was a symbol of royalty in these lands.
 
Crabfeeder's torso while getting drag by Daemon[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasubiri hizi ziishe ndiyo nizianze😋

1. House of the dragon.
2. Lord of the rings- The rings of power.
3. See.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…