Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha pole KakaDaah umeniwahi mzee Iwas about to start it.
Hii ilikua inasubiriwa Kwa hamu Sana. Ni prequel ya tamthilia pendwa ya GOT,hivyo sio kitu kigeni machoni pa watu.Haijaanza ushaanzishia uzi
Hapana hawatahusika humu. Hii series inazungumzia Vita vya wenyewe Kwa wenyewe ya House of Targaryen wakigombea Iron throne, ambavyo vilitokea miaka 200 kabla ya matukio ya Game of thrones kuanza. Hivyo humu tegemea kuona mapigano ya dragons zaidi. Kwenye Game of thrones kulikua na dragons watatu humu tegemea kuwaona wengi zaidi.Hope wakuwepo white walkers and night king...[emoji119]
#MaendeleoHayanaChama
Hatari Sana MkuuKitu ya "Fire and Blood".
Ni balaa Mkuu,tetesi zinasema kutakua na dragons kama 17 hiviI can’t wait August 21
Noma sana..ngoja tuone.Ni balaa Mkuu,tetesi zinasema kutakua na dragons kama 17 hivi