Ndugu yangu anahitaji msichana au mvulana wa kusaidia kazi za ndani maeneo ya Dar es Salaam. Mshahara ni maelewano. SIFA
Maid anatafutwa,nyumba wanaishi mume na mke.hamna watoto,wanafanya kazi wote
sifa zifuatazo mshahara mzuri.anapewa chumba chake pekee cha kulalal full furnished.Kazi za msingi ni KIFUA,Kupiga Pasi,Kupika,sometime kuosha gari.
Awe muaminifu
Mwenye nidhamu, Upendo
Msafi wa mwili na mavazi
Anayejua kupika na kukarimu wageni
Mchapa kazi, anayezingatia sana usafi wa mazingira
Asiwe muhuni
Mwenye kuheshimu na kufuata maadili ya dini na ya jamii kwa ujumla.
Awe na mtu wa kumdhamini
Asiwe na magonjwa sugu au ya kuambukiza (mf Kifua kikuu, kifafa)