Y yuya Member Joined Nov 7, 2011 Posts 46 Reaction score 7 Jul 22, 2013 #1 Tunatafuta mfanyakazi wa ndani (house girl). Tunaishi kibamba . Mimi na mke wangu ni watu wazima tumeajiri na hatuna mtoto mdogo. Awe mpenda usafi na mcha Mungu. Tutamsaidia kuendelea kielimu akipenda.
Tunatafuta mfanyakazi wa ndani (house girl). Tunaishi kibamba . Mimi na mke wangu ni watu wazima tumeajiri na hatuna mtoto mdogo. Awe mpenda usafi na mcha Mungu. Tutamsaidia kuendelea kielimu akipenda.
M Mahdiya Member Joined Jan 20, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Jul 22, 2013 #2 nitafurah kama mkinipatia mimi wazazi wangu wapendwa.
Y yuya Member Joined Nov 7, 2011 Posts 46 Reaction score 7 Jul 22, 2013 Thread starter #3 Mahdiya said: nitafurah kama mkinipatia mimi wazazi wangu wapendwa. Click to expand... Uko wapi? Ni PM tuelekezane vizuri
Mahdiya said: nitafurah kama mkinipatia mimi wazazi wangu wapendwa. Click to expand... Uko wapi? Ni PM tuelekezane vizuri
M Mahdiya Member Joined Jan 20, 2013 Posts 7 Reaction score 2 Jul 22, 2013 #4 Jaman wanakataa kuniruhusu kutuma pm