House for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

House for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Mar 28, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,037
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145

  Located at Kimara Temboni about a kilometer from Morogoro Road. 4 bedrooms ( one ensuite), sitting room, dinning room, kitchen, store, plot size 2125 sqm, fenced, It has a clean tittle deed. Price Tshs 175mil
   

  Attached Files:

 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  ee kumbe nyumba za huko nazo zishafika bei hizo!! Basi itabidi tuhamie Kigamboni
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hiyo bei kwa kimara kazi kweli kweli tutarudi msamvu
   
 4. l

  lily JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wao sasa na Masaki itakuwaje? kiwanja kamara 2000sq meter 25 milion, kujenga 50 milion! total 75 miliion haya ni mahesabu tu ya haraka haraka. jamaa yangu kajenga nyumba kwa garama hiyo! wabeba mabox mupo? huku watu hatuna hela bwana!
   
 5. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dada Lily huyo jamaa yako alijenga exactly the same house kwa 50m? Kama nyumba ziko tofauti muache Kitomai auze kutokana na gharama alizoingia
   
 6. BLISS

  BLISS Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda sana hii nyumba, na nilikuwa natafuta nyumba, je hiyo bei haipungui? na pia hizo samani za ndani zitatolewa au zinabaki kuwa mali ya mnunuzi?
  plz nipe jibu.
   
 7. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2011
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mkuu Kitomai, Hii nyumba nakumbuka kama uliishatoa tangazo lake kama mwaka mmoja ama miwili iliyopita. Ni nyumba nzuri. je haijapata mnunuaji toka wakati ule? Je ilinunuliwa na huyo mnunuaji naye sasa anaiuza tena? Ama kama haikununuliwa toka wakati ule wakati ni nyumba nzuri sana kimuonekano nini tatizo? labda bei ni kubwa na ujaribu kuongea na muuzaji apunguze bei? labda ipo karibu mno na eneo la kujidai la Mheshimiwa Magufuli??
   
 8. l

  lily JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakujenga exacly the same house but he built nicer than this ha ha a
   
 9. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona picha kuanzia ya 11 hadi mwisho zinafanana na Apartment hii? Au ndio mambo ya mbuzi kwenye gunia nini? Just an observation. Maana nina kampango ka kutafuta kaeneo nyumbani ndio nimekutana na hayo.
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  duh kumbe hii nyumba bado haijaenda/haijanunuliwa? si bei ipunguwze tu
   
 11. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2011
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Jamaa naona katika kazi yake ya udalali kaamua kuchanganya dozi.
   
 12. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ni nyumba nzuri na bei sio mbaya kihivyo kwa gharama za ujenzi wa nyumba za sasa, ukichukulia kuwa tayari unaikuta ishajengwa na huna presha za kusumbuana na mafundi. ukitaka kusave, ruksa kujenga toka msingi mpaka finishing. ukihesabu na muda wako utakuta bei zenu hazitofautiani kihivyo
   
Loading...