Hafidhibrahim
Senior Member
- Nov 4, 2014
- 142
- 32
Habar. Nyumba inauzwa ipo maeneo ya chuo kikuu mliman. Nyumba ina vyumba vnne kimoja master na chumba cha stoo na pia kuna eneo kubwa limebak kiwanja kina ukubwa wa miguu 75*35. Mawasiliano au picha whatsup 0713844841. Ahsanten