House for sale ubungo NHC

House for sale ubungo NHC

Bosspraise

Senior Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
134
Reaction score
124
Nyumba nzuri ya kisasa Ipo nyumba ya ubungo plaza ubungo mtaa wa Lego NHC

Ipo ndani ya geti na nafasi kubwa ya parking

Nyuma na mbele

Ina vyumba Viwili kimoja master bedroom
Sebule kubwa
Jiko
Choo cha public

Ac master bedroom na sebule

Mfumo wa maji taka umeunganishwa baharini moja Kwa moja

Kuna maji ya dawasco na kisima Kwa hiyo haupati shida ya maji

Vyoo vya njee vipo

Pavings uwanja mzima

Nyumba ipi karibu na kanisa la EAGT ubungo nyumba ya ubungo plaza na karibu na stendi ya zamani ya ubungo

Nyumba hii inauzwa millions 150 Tu Maongezi yapo

Karibu
 
kwa hizo kelele za walokole utatoboa kweli hapo???
Ukiondoa hicho kipengele basi bei ni reasonable kabisa ila kelele sasa🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom