House4Sale House for sale tegeta masaiti

mfetere

JF-Expert Member
Feb 27, 2014
247
89
NYUMBA INAUZWA IPO TEGETA MASAITI
Nyumba inavyumba 3 na baikota pembeni kimoja master hati miliki ipo haina matatizo yoyote bei 160million maongezi yapo
bed room master=1
bed room =3
sebure juu na chini
public toilet
sehemu ya kulia kubwa tu
fence & gate
ukubwa wa kiwanja Qm 1300
Nyumba haina tatizo lolote, hati miliki ipo unapewa copy unakwenda kutazama km ina tatizo. kituo cha kufika kwenye nyumba kinaitwa namanga mbele ya kibo. 0714787795
IMG_6266.JPG
IMG_6267.JPG
IMG_6268.JPG
IMG_6265.JPG
IMG_6268.JPG
 
kiwanja kikubwa sana kwa nje..! Lazima uwe na house girls/biys zaidi ya wa3...! Sinunui tena
Square meter 1300 ni kikubwa mkuu?? Mbona kiwanja cha kawaida kabisa hicho?? Kiwanja kikianzia square meter 3000 ndio kikubwa. Au umezoea vile vya sqm 600???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom