naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Jan 28, 2015 #2 Baki nayo tu mkuu, hata bure sitaki, sifikirii kuweka roho yangu rehani
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jan 28, 2015 #3 Hii utaishi kimashaka mashaka mkuu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 28, 2015 Thread starter #4 NAPITA said: Hii utaishi kimashaka mashaka mkuu Click to expand... NAPITA hapa panafaa sana kwa shughuli za kutoa majini mapepo na uganga wa kienyeji kwa ujumla Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
NAPITA said: Hii utaishi kimashaka mashaka mkuu Click to expand... NAPITA hapa panafaa sana kwa shughuli za kutoa majini mapepo na uganga wa kienyeji kwa ujumla
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Jan 28, 2015 #5 mshana jr said: NAPITA hapa panafaa sana kwa shughuli za kutoa majini mapepo na uganga wa kienyeji kwa ujumla Click to expand... Yanakuwa yanakimbilia kwenye maji Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: NAPITA hapa panafaa sana kwa shughuli za kutoa majini mapepo na uganga wa kienyeji kwa ujumla Click to expand... Yanakuwa yanakimbilia kwenye maji
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,119 Jan 28, 2015 Thread starter #6 NAPITA said: Yanakuwa yanakimbilia kwenye maji Click to expand... Na yanatokea hukohuko
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Jan 28, 2015 #7 aisee hiyo hata nipewe bure sitaki