HOUSE FOR SALE(DHARURA)

HOUSE FOR SALE(DHARURA)

Labda kama kuna tatizo lingine,lakini nyumba ni nzuri na bei ni ya kuridhisha,kwani ukipiga hesabu za kununua kiwanja cha milioni 5 huwezi ijenga nyumba hiyo kwa 15Mil....
 
Imebidi nicheke kwa jinsi maelezo yako yalivyo ya kibwege kaka nilikuwa na mawazo hapa angalau umeniamsha
Waswahili bhana! Mawazo yangu yamekuwa yq kibwege baada ya kusema jamaa hali yake ya kiuchumi ni tete.

Huu ndio ukweli mchungu mkuu...uchumi wako ni mgumu ndo maana unauza Nyumba kama hiyo million 20 tena yq kuanzia possibly unaweza kuchukua hata million 15.

Hii inawaponzaga wengi sana kutaka kuwaaminisha watu hajafulia matokeo yake ukiipatia na hii hela..utataka uonekane hujafulia Kwa kumaintain lifestyle yako ya awali ulipokuwa na mkwanja. Hapa ndipo utajua kwanini iddi Amini aliitwa Dada wakati ni wa kiume! Aaaaahaha!

Kwani ukiadmit uchumi umeenda halijojo kuna tabu gani?
 
Nimeona thread zako zote unauza Viwanja na Nyumba na spair za magari...hopefully utakuwa Dalali tu.

Sasa hapo umeweka na bei yako probably hii Nyumba inauzwa hata million 17 tu. But Dalali umepandilia na cha kwako humo. NAMBA INAUZWA KITUNDA SHULE

Hii hapa unauza ndinga Nissan hardbody for sale

Na hii hapa jamaa yetu anauza BENZ FOR SALE FOR 5.5 MILL

Ndio maana unacheka una uchungu wowote Dalali.
 
Bwana eeeh nunua nyumba hiyo acha kiswahili kirefu mzee baba ukiuza chako ukakaa bar unapata hasara gani?
 
Nimeona thread zako zote unauza Viwanja na Nyumba na spair za magari...hopefully utakuwa Dalali tu.

Sasa hapo umeweka na bei yako probably hii Nyumba inauzwa hata million 17 tu. But Dalali umepandilia na cha kwako humo. NAMBA INAUZWA KITUNDA SHULE

Hii hapa unauza ndinga Nissan hardbody for sale

Na hii hapa jamaa yetu anauza BENZ FOR SALE FOR 5.5 MILL

Ndio maana unacheka una uchungu wowote Dalali.
Nissan bado ipo unataka mkuu?nyumba ya kitunda ishaondoka na Benz vishasepa na hii nyumba probably within this two days itaondoka njoo chukua nyumba masuala ya dalali au sio dalali yaache kwa sasa
 
Haina gutter mvua ikinyeesha maji yanayogonga ardhini ndio yanarusha huo utando mwekundu.
Siyo kweli, iko kwenye mkondo wa mafuriko. Huoni umejenga kingo za kuzuiya maji hapo mbele? Kaweka na ngazi kabisa za kushuka huko kwenye shimo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom