Hapo naona unataka kumletea mwenye nyumba shida zako na maelezo marefuuuuuu', Nyumba inapangishwa wewe waanza kutoa maelezo ya kuwa fedha utaitoa wapi?
Nani anataka kujua????? Nyumba inapangishwa kama waweza kupanga na umaipenda panga sio waleta siasa....:angry::angry::angry::angry:
Mtu chake, alivyokipata na kuhangaika hukumsaidia hata chembe, so ... mwache ale matunda yake bana acha roho zako za vikwazo....!!!
Kwa taarifa yako huyu mtu analipa kodi TRA kila mwezi katika kodi aipatayo kwenye rent
Well kuhusu wizi na ufisadi uko toka enzi ya musa.... wewe umejua sasa kijana??? jua yako acha maisha ya watu:angry::angry::angry::angry:
Ni mtazamo tuuu