House for Rent - Nyumba Inapangwishwa

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
Mikocheni "B" near Coca Cola factory

1111061212.jpg

Groung floor; 3 bedrooms - 1 masterbedroom, Lounge, dinning area, kitchen, store, 2 public toilets, 1 pulic showerroom

First floor; Master Suite with Studyroom and lounge

Outside; Servans Quator with toilet kitchen, Parking Area, Large Garden, 5000 liter reserve water tank

Suitable for private or Office use

Rent; 2500 usd per month O.N.O (maelewano yapo)

For more information please contact Salim on 0655 - 506 003 or 0784 - 506 003 ---- 24/7
 
Bei/gharama/pango kwa siku 30 ni hela ngapi? Malipo kwa mwezi au mwaka? Kwa dola ua madafu?
 
Bei/gharama/pango kwa siku 30 ni hela ngapi? Malipo kwa mwezi au mwaka? Kwa dola ua madafu?

Nashukuru kwa kuonesha nia mkuu, nilisahau hilo lakini nimeeshaedit post na kuweka hivyo vielelzo

2500 usd per month na kodi ni kwa mwaka lakini maelewano mengine yapo mkuu
 
hii bei ni kweli au imekosewa? yani mil3 na ushee kwa mwezi? huku tz hakuna hiyo
 
hii bei ni kweli au imekosewa? yani mil3 na ushee kwa mwezi? huku tz hakuna hiyo

Siamini kumbe unaweza kufanya kazi kubwaaaaaa ukilipa kodi ya nyumba hii unakwisha maana net 3.3M unaacha kwenye nyumba, kwa hela hiyo TRA lazima wale si chini ya Million na NSSF si chini ya laki tano. Tafuta mshahara, Ndiyo huu huu wa Mgaya na Kikwete?
 
hiyo kodi ya mwaka kwa cc tuliotumwa hela kwetu tunapanga uswahilini na tayari tunakuwa na plan ya kujitafutia kajibanda kako.
 
Nyumba ni nzuri,bei ipo kwenye range ya house market in Dar, ila nadhani mnatakiwa kuifanyai finishing nzuri, haivutii. landscape haijatulia, rufu yake, yaani, jenerali inatiwa finishing uweze kupata mpangaji. sikukatishi tamaa ila na ingevutia inepata mtu haraka. dol 2500 si kidogo. ningekuonyesha nyumba za bei hiyo zikoje nadhani unenielewa.
 
Nashukuru sana kwa ushauri wako na nakuelewa sana BON

Yoote hayo uyasemayo yawezekana kufanyika kwa makubaliano fulani kama tuta-afikiana na huyo mpangaji mtarajiwa
 
kuna mtu ana $1000 vipi unapokea tufanye biashara??

kaka nashukuru kwa ushirikiano wako katika hili,
sasa kama yawezekama Uwasiliane na Salim kwenye (0784) - (0655) 506003 Mweze kuelewana kama atakubali
 
Wadau vipi mboni kimya kimezidi kuhusu issue ya hapo juu? fanyeni biashara mambo yaishe, 10% ipo kama kawaida :smile-big:
 
Bongo bana nyumba imejaa magrili utafikiri ofisi ya Segerea.......... Gd luck mkuu..................
 
Nashukuru kwa kuonesha nia mkuu, nilisahau hilo lakini nimeeshaedit post na kuweka hivyo vielelzo

2500 usd per month na kodi ni kwa mwaka lakini maelewano mengine yapo mkuu

Haya ndiyo serikali yetu ingekuwa makini ingekuwa inayapiga vita na kuhakikisha kwamba hayatokei. Kwa nini kodi inatakiwa kulipwa kwa dola? Kwa nini kodi inatakiwa kulipwa kwa zaidi ya mwezi mmoja in advance? Nafikiri huu ni wakati sahihi wa serikali kuingilia kati na kuja na sheria ya kuzuia wenye kudai kodi kwa USD na pili kutaka kodi zaidi ya mwezi mmoja. Mimi nafanya kazi na mshahara nalipwa mwisho mwa mwezi, sasa unaponiambia nilipe kodi mwaka mzima hizo pesa nimezipata wapi? Kwa mtindo huu tunakaribisha rushwa, wizi na ufisadi!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom