Baraka issa
Senior Member
- Aug 29, 2015
- 169
- 50
Duh.... rangi kama za nasare skul....:crazy:
Hahaa nilipoona hii comment yako imenibidi niingie kuchungulia hizo rangi
Duh.... rangi kama za nasare skul....:crazy:
Hahahaa kwakweli mie pia nimeona rangi mmmh
Hata rainbow walau rangi zinaendana....
Hujaacha umbea?
Naachaje kwa mfano