Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 36,354
- 23,760
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu.
Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu Mpendwa ni chaguo la Mungu. Mama yetu kipenzi ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Jemedari wetu hodari amepewa kibali na Mungu Mwenyewe. Kipawa na Karama ya uongozi aliyonayo Rais wetu ni ya ajabu sana kuwahi kushuhudiwa Barani Afrika na Duniani kwote kwa ujumla wake kwa Miaka ya hivi karibuni.
Hotuba yake ya hii leo imeitetemesha Dunia nzima na kuiacha na matumaini makubwa sana. Ni hotuba ya matumaini,ni hotuba iliyokata kiu ya wengi, ni hotuba iliyojibu matarajio ya wengi,ni hotuba iliyoonyesha kufunguliwa zaidi kwa milango ya kila mtu, ni hotuba iliyobeba majawabu ya ndoto za kila mtanzania.
Ni hotuba ambayo imemgusa kila mmoja wetu pasipo kumuacha au kumsahau yeyote yule nyuma,ni hotuba ambayo imeonyesha Rais wetu Mpendwa anajua nini watanzania wanahitaji kutoka kwake na serikali yake .ni hotuba ambayo imeonyesha njia na maana ya jasiri muongoza njia.ni hotuba ya kihistoria,ni hotuba ya karne ,ni hotuba itakayo dumu kwa miaka mingi sana kama ile ya Dkt Martin Luther king Jr ya 'I Have A Dream'.
Ni hotuba ambayo imechora ramani ,kuonyesha muelekeo na Dira kwa Taifa letu juu ya wapi RAIS wetu Mpendwa atalipeleka Taifa kimaendeleo. Ni hotuba iliyowaondoa hofu na kuwapa Matumaini na ujasiri Watanzania kuanzia akina Mama ,vijana ,wazee ,wanawake n.k.
Kwa sababu imeonyesha na kuvunja kabisa vikwazo vyote vilivyokuwa vikiwatesa watanzania kuanzia ajira kwa vijana ,gharama kubwa za matibabu kwa magonjwa makubwa ,mitaji kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Sasa serikali yao itagharamia na kutoa matibabu bure kabisa kwa magonjwa kama vile figo,saratani ,mifupa n.k.
Pia itatoa zaidi ya Billion 200 kama mitaji kwa vijana na wafanyabishara wadogo wadogo ili waweze kukua. Itatoa ajira maelfu kwa maelfu kwa vijana .itatoa Na kuendelea kutoa Elimu bora na yenye kuwajengea uwezo vijana kuweza kushindana katika soko la ajira la kimataifa pamoja na kujiajiri wenyewe kwa kutoa ujuzi wa Kiwango cha juu kabisa.
Haya ni kwa uchache sana kwa sababu ni mengi sana ambayo yanakwenda kutekelezwa na serikali yetu chini ya Jemedari wetu hodari na Nahodha imara Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika miaka yake hii mitano ijayo.
Jambo ambalo limewakosha sana wazungu na kukonga nyoyo zao. Kwa watanzania ndio imekuwa furaha kubwa sana ndani ya mioyo yao.nyuso zao zilijawa na tabasamu,furaha na matumaini sana walipokuwa wakisikiliza na kufuatilia hotuba hiyo.
Kwa hakika Taifa limepata Rais wa viwango.Rais mwenye maono na kiu ya maendeleo. Rais mwenye akili kubwa na uwezo wa kiuongozi.Rais mwenye maarifa na upeo wa hali ya juu sana. Kwa hakika hii ni bahati kubwa sana kupata Rais wa Aina ya Rais Samia.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.