Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

Kama alikua mwema kiasi hicho kwanini hakutaka kutoka madarakani hadi yamemkuta?
 
kinachokusumbua wew ni ukafiri dhidi ya uislaam ,na kujiaminisha kua muislaam yoyote kwako wew ni mtu mbaya na hafai katika jamii licha ya wema wowote atakao kua nao na kuinufaisha jamii ikiwemo wew mwenyewe
ila haishangazi tunajua fika kua kafiri ck zote anamchukia muislaam na kumkhofia popote alipo, na ndio maana ata na wew unabaki kumchukia gadafi c kwa sababu yoyote ispokua ni kua yey muislam wew ni kafiri
ukiambiwa ulete evidence zako za kua gadafi ni gaidi utaufyata na kugugumia chini

na wapo makafiri weengi kama yeye ambao hawataki kukubali mengi mazuri ya waislam kutokana na chuki zilizojaa ndani ya mioyo yao dhidi ya uislam.

Wakati ndani ya jamii zao wanaishi na waislam na wanafaidika kwa mengi kutoka kwa hao hao waislam ambao wanawachuikia na kuwaona hawana zuri lolote.

Hakika MwenyeziMungu hakukosea aliposema HAWATOKUWA RADHI WAYAHUDI NA MANASWARA MPAKA MFUATE MILA ZAO .
 
Kati ya vitu vilivyonifanya nimkubali gadaf ni ile idea aliowahi kuitoa akiwa m/kiti wa AU ya kuunganisha nchi za afrika kuwa kama nchi moja kushirikiana ktk kila nyanja, ila baadhi ya viongoz walafi walikataa hiyo idea kwa kujua ingewashurtisha na ulafi wao........r.i.p canal

From Nkurumah, Nyerere, Kenyatta, Mandela wote walikua na wazo la kufanya Africa kuwa moja, we umemuona Gaddafi tu?
 
Dini zilishuka kwenye nchi zenye uhitaji kweli,ukiangalia kwa umakini waarabu bila kuwapeleka kwa sheria na kanuni za dini ya kiislam hawaendi ona enzi za utawala wa Qaddafi na Sadam Hussein nchi zao zilikua na amani maana walikua wanapelekwa kwa misingi ya dini baaada ya kupewa tuiitayo sisi demokrasia ona wanavyochinjanya wenyewe kwa wenyewe,dah inatia sana uchungu
 
Mi nlipenda speech anayocritisize UN security council. Anawauliza permanent members nani aliwachagua ukiacha China? Ni democrasia gani wanatuhubiria kama wao ndo walijiweka? Kwanini pasiwepo na uwakilishi toka kila Bara ambapo kwa Africa hata Tz ingetuwakilisha tu? Nahisi hii ndio sabab kubwa ya kumwondoa
 
kinachokusumbua wew ni ukafiri dhidi ya uislaam ,na kujiaminisha kua muislaam yoyote kwako wew ni mtu mbaya na hafai katika jamii licha ya wema wowote atakao kua nao na kuinufaisha jamii ikiwemo wew mwenyewe
ila haishangazi tunajua fika kua kafiri ck zote anamchukia muislaam na kumkhofia popote alipo, na ndio maana ata na wew unabaki kumchukia gadafi c kwa sababu yoyote ispokua ni kua yey muislam wew ni kafiri
ukiambiwa ulete evidence zako za kua gadafi ni gaidi utaufyata na kugugumia chini

daaah nimekuelewa sana! mim ckujua tatizo ni nn kumbe tatizo aliyefanya mazuri ni muislam? haya ngoja tuendelee kuona hao ambao wakristo na si magaid(USA NA WENZAKE) wanavyoendelea kuua watu na kuharibu nchi za watu! ona libya ya sasa, doooh
 
From Nkurumah, Nyerere, Kenyatta, Mandela wote walikua na wazo la kufanya Africa kuwa moja, we umemuona Gaddafi tu?

Labda lakini mi nilipenda wazo la gadaf zaidi kwani alithubutu kulisema pendekezo lake mbele ya mkutano wa umoja wa afrika tena akiwa mwenyekiti......
 
acha mawazo ya kikafiri, tumia akili japo Kidogo.
Soma historia ya Libya kabla ya gadafi na usome hali ilivyo sasahivi.

Unajua kusoma? Unaelewa swali? Kwanini hakutaka kutoka madarakani hadi yamemkuta?

Hizo historia soma wewe, Libya ilikua na bado ni 3rd world country sasa sijui unataka nisome nin..

Kwanini hakutaka kutoka madarakani?
 
Truly he was the man of the people,lakini sitasahau alichokifanya wakati wa vita ya kagera,alikuwa upande wa IDI AMIN,kumuwezesha aitwae KAGERA kutoka TANZANIA,ndugu zangu zangu wengi walipoteza maisha katika vita hiyo,

WHAT GOES ARROUND COMES ARROUND.
 
=========

Mungu yupi huyo? Labda yule mungu wa 'wenzetu ktk imaan', ndio ana makao ya aina hii.Ghadafi anatoa msaada upi Afrika? Asubirie jehanamu 2 huyo...........................Teh teh.....

Jitu kama hili sio lakuwepo duniani kilaza mkubwa unauliza Gaddifi kamafanya nini AU?wewe mpuuzi kiazi sasa libya kuna uhuru?una bahati upo nyuma ya computer una post ungese wako..Watu wanakufa unasema Gaddifi kafanya nini?kenge mkubwa
 
Unajua kusoma? Unaelewa swali? Kwanini hakutaka kutoka madarakani hadi yamemkuta?

Hizo historia soma wewe, Libya ilikua na bado ni 3rd world country sasa sijui unataka nisome nin..

Kwanini hakutaka kutoka madarakani?




http://en.m.wikipedia.org/wiki/Health_in_Libya

http://www.globalresearch.ca/destroying-a-country-s-standard-of-living-what-libya-had-achieved-what-has-been-destroyed/26686


http://countrystudies.us/libya/55.htm


kusoma hujui, hata picha hauoni?
leta nchi yenye mambo kama hayo Africa zaidi ya Libya, hata marekani yenyewe na nchi nyingi tu za ulaya zilikuwa haziwajali raia wake kiasi hicho.

TATIZO MAWAZO YA KIKAFIRI YANAKUSUMBUA.

WIVU NA CHUKI TU NDIO ZIMEKUJAA.
 
=========

Mungu yupi huyo? Labda yule mungu wa 'wenzetu ktk imaan', ndio ana makao ya aina hii.Ghadafi anatoa msaada upi Afrika? Asubirie jehanamu 2 huyo...........................Teh teh.....

After all wewe si Mungu mwenye uwezo wa kuhukumu, yeye pekee anamjua aliye na asiye wake, umejuaje kuwa ataenda jehanamu? Je wewe ni Mungu? Acha maneno hayo ndugu, yasije kuwa laana kwako kwa kuwa hata wewe hatima yako huijui!
 
http://en.m.wikipedia.org/wiki/Health_in_Libya

Destroying a Country's Standard of Living: What Libya Had Achieved, What has been Destroyed | Global Research


Libya - HEALTH AND WELFARE


kusoma hujui, hata picha hauoni?
leta nchi yenye mambo kama hayo Africa zaidi ya Libya, hata marekani yenyewe na nchi nyingi tu za ulaya zilikuwa haziwajali raia wake kiasi hicho.

TATIZO MAWAZO YA KIKAFIRI YANAKUSUMBUA.

WIVU NA CHUKI TU NDIO ZIMEKUJAA.

Ukianza kuleta links za ajabu ajabu hata mimi naweza ku-google na kujaza links hapa zinazoonyesha uchafu wa Gaddafi

Anza ni hii Hon. Yoweri Museveni akimuelezea Gaddafi:

The Qaddafi I Know

Bado hujajibu swali; kwanini hakutaka kutoka madarakani hadi yamemkuta?
 
Alikuwa bora kwa watu wake,alikuwa alama kwa viongozi wa kiafrica kujifunza kwake.. mfumo wa utawala na mawazo yake vilikuwa na manufaa kwa jamii yote,,, alikuwa shule kwa viongozi wetu wanaofikili kwa makalio na kutokuwa na ndoto za kupaisha Mataifa yao kiuchumi..
MUNGU MWINGI WA REHEMA NA HEKIMA ATAAMUA KINACHOFAA....
 
Ukianza kuleta links za ajabu ajabu hata mimi naweza ku-google na kujaza links hapa zinazoonyesha uchafu wa Gaddafi

Anza ni hii Hon. Yoweri Museveni akimuelezea Gaddafi:

The Qaddafi I Know

Bado hujajibu swali; kwanini hakutaka kutoka madarakani hadi yamemkuta?

malikia elizabert ana miaka mingapi madarakani
 
Back
Top Bottom