ObiElinami
Member
- Feb 26, 2013
- 20
- 14
Kwakweli nimemsikiliza Mh. Aikaeli Mbowe wakati wa tukio la kumkaribisha Mhe. Lowassa kiuhakika hotuba yake inaonesha ukomavu wake kisiasa hasa jinsi ya kutoa hoja zenye mashiko na zenye kujibu maswali yaliyomo vichwani mwa Wabongo wengi. Mbowe alijiandaa alijua wananchi wanamaswali gani na alijua njia hasa ya kuyajibu. Wakati akiendelea na hotuba yake nikawa napatwa na taswira ya hayati Nyerere sijui kwanini!! Anyway masihara pembeni, today's Mbowe Speech was so on point kuliko hata speech za mkuu wa kitengo.