bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,459
- 12,669
Hivi hamuogopwi ata kuchomwa mbinguni..??? Sasa sijui na wewe umetokea wapi na umetumwa na nani kuleta propaganda za kipuuzi kwa watanzania..? Kitu kimoja mjifunze hiki ni kizazi cha kuhoji na kuchambua mambo acheni propaganda za kitoto.
Mnayoshinda moja kila anaye hoji uhalali wa taarifa za serikali mnadhani ni CHADEMA hakika mnajidanganya sana.
Politicians Stop Fooling us(Tanzania).
Sent using Jamii Forums mobile app