Hotuba ya Lowassa yavuja

Kama DeCi was an illegal thing.... Utawalipaje watu pesa out of something which was illegal...

Ni sawa mtu ufungue kesi mahakamani ya kudai pesa ulizodhulumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya
 
Kama DeCi was an illegal thing.... Utawalipaje watu pesa out of something which was illegal...

Ni sawa mtu ufungue kesi mahakamani ya kudai pesa ulizodhulumiwa kwenye biashara ya madawa ya kulevya
Only lowasa
 
Ukiwa na akili lazima ujiulize ndani ya huo muda mfupi atazipata wapi hizo pesa, bila kusahau na za elimu ya bure toka msingi mpaka chuo, au amesemaje kuhusu atakavyozipata maana kulipa madeni LAZIMA uwe na pesa, elimu ya bure lazima serikali iwe na pesa, mambo yote hayo kwa pesa ipi ndani ya huo muda?
Ukiwa mjinga lazima akuingize kingi.
 
Alikuwa wap zaman harafu nilizan atarudisha fesa yetu ya richmond aliyosepa nayo
 
Huyu jamaa nimeanza kumshtukia, YEYE SASA HIVI LIWALO NA LIWE, endapo ataokota dhahabu kariakoo na kuwa rais, anavuta salio lake ndani ya muhula mmoja, watu wanaenda kula nyasi, baada ya hapo atajua hachaguliwi tena, anastaafu siasa 2020, maana hizi ahadi ni za mashaka sana!
 
mwambieni muheshimiwa avunje baraza la mawaziri ajionee mpasuko, ndo maana anaogopa

  • :majani7:
 
Kua empty ni kujadili kitu ambacho ni gossip km hii alafu unatoa povu hamna cha decni lumumba wanafanya utabiri
 
Analipa watu na sirikali asiiache.marichmond na dowans alipe.huyu ni bwana mapesaaaaaa.
 
Kumbe hotuba yake itakua dakika mbili kama kawaida yake
 
Kashindwa kusema atasomesha watu bure ndio akulipe DECI.

KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO. MUULIZE ATASOMESHA WATU BURE? ATATOA WAPI FEDHA. HATUNA MUDA NA NGONJERA ZISIZO NA USHAHIDI.
 
Inaonesha jinsi gani Lowasa alivyo genious wa kutupwa.

Anajua nini Watanzania wanataka.

Hotuba zake ni short, clear and straight to the point.

Magufuli muda mwingi yeye anatuambia tumuamini ila hasemi tumuamini kwa lipi.

Viva Lowasa, Viva Ukawa.
Nimecheka sana leo kusikia Magufuli anawambia watu wa Mlandizi wasiuze ardhi yao maana anampango wa kujenga viwanda kama Elfu moja eneo hilo ndani ya miaka miwili au mitatu. Nimejiuliza au huyu jamaa hata mashine za kusaga mahindi nazo anajua ni viwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…