Hotuba ya Kikwete haina jipya kwa watuhumiwa wa Escrow. Muhongo ziarani Mara kesho

Wewe msemaji wa ikulu?Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society
 
Mimi ni kama wewe natamani kama akisunguza awasifie kama alivyo fanya kwa Werema na kuwasafisha wote na awambie wazee hawa watu ni wazuri tatizo ni bunge na pesa za mengi kama walivyo tuma watu wao kutoa matamko na kwenye mitandao kuwasafisha prof ushauri wangu wasafishe maprof wezako na wakina maswi na mlaani tumbili na bunge kwa ujumla wambie wazee hawa wanataka kukuaribia watendaji wako wazuri huo ndiyo ushauri wangu tu kwa prof JK
 
Na ni vizuriii asipofanya lolote ndio anakimaliza chama chake unajua hela alishachukua na watazitumia kwenye kampeni sasa unadhani watarudi nyuma? No Way ila sasa sijui Hao wahisani na misaada inakuwaje

Anakimaliza chama chake kivipi hebu elaborate,nyinyi hamna akili pelekeni watoto wenu shule hata haki zenu hamzijui kazi zenu kupiga kelele tu!
 
Mungu atupe subira, manaake hii ni dharau yakiwango cha juu mnoo, labda nililala sikusikia kua nchi yetu imekua yakifalme!!
 
inatia hasira sana hivi huko mara hamna suicide bombers?hakika huyo mtu nitamuita shujaa wangu wa escrow
 
Anakimaliza chama chake kivipi hebu elaborate,nyinyi hamna akili pelekeni watoto wenu shule hata haki zenu hamzijui kazi zenu kupiga kelele tu!
Mimi nitangulie kumpa HONGERA Rais wetu kama atakuwa amekataa kuburuzwa na Bunge kwa jazba, hasad, visasi, kukomoana na kukamiana kwingi.
 
South Africa wameshasema, ZUMA NI MWIZI..... Na wamelisema Bungeni.

Last edited by a moderator:
Mhongo ataenda Ndugu yerico this he is preparing for his campaign ya ubunge, although I support ccm I blv no lazima awajibike. Nchi kwanza siasa baadaye. I hope you guys at cdm will be the same when it comes to national interest.
 
Mtu mvivu na mwoga wa mabaliko huwa anaishia kufanya assumption za Kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…