mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
BAKAGROUND na hapo ndo ukawa mwisho wa kuangalia maana niliishindwa kuvumilia chelp
Acha kurudia rudia maneno kama mtoto wa chekechea "your are" nyingi.A good speech and a genuine one. You are our hope, my dear President, you are good for Tanzania and you are genuine to change Tanzania for the benefit of all Tanzanian, please I beg you do not let people like Makonda distruct you.
Kwahiyo hapo kuna tatizo gani la kiingereza ndugu MJUVI ?
Acha hizo wewe,binafsi nilikuwemo ukumbini,kuna wakati alikuwa anaacha kusoma anazungumza na Audience kiingereza safi kabisa (sijafungua hiyo video labda iko edited).Kwa ufupi yuko vizuri,alikuwa anaongeza maneno yake out of a written speech kitu ambacho Mzee Mengi na Mhe.Mwijage hawakukifanya (Mbona hao hujawasema?,walikuwa hawabanduki kwenye Karatasi-Wewe utakuwa na lako jambo..go go go Magufuli).Na tuache hizo Kasumba eti Rais wetu hawezi kwenda nje ya nchi kwa sababu hawezi kuzungumza Kiingereza.Huo ni ulimbukeni.Samahani kama nimekukwaza.
Uko "deep" sana , Yaani wewe ni mwingereza kabisa upo bongo bahati mbaya sana, hivi una uhakika huna undugu na Malikia wa UK ?We are....... then ....a.... stable ....nations... wingi kwenye nations haukutakiwa kuwepo. Stand to be corrected
Wamebaki wanasubiri Mh Rais aseme kitu wakishikie kidedea...hhahhahhahHicho tu ndicho mlichobakiza
Kwa nini kumtetea? Kumkosoa mtu sio kumdharau. Kumkosoa hutoa fursa kwa wengine kujifunza. Lakini unapotetea hata pale dhahiri kabisa yako mawili- wewe ni muumini unayesadiki katika utukufu usioweza kuwa na kosa au ni asiyependa kuwaza wala kufikiria upande wa pili! Yaani ukisifiwa unavimba kichwa kumbe inawezekana sifa hizo ni bandia.
Nakubaliana na mtoa mada.Jakaya n mzur kuliko Magu ila Mkapa kiboko yao. Rais hua anasoma written speeches. Nilimuona Jakaya wakati anatoa speech SA kwenye maombolezo ya Mandela though alikua na written speech lakin kuna mda alikua anaiacha anatumia maneno yake mwenyewe.
Acheni UDWANZI !!! FANYENI KAZI !!
Ingekuwa kiswahili angetoa kichwani
Yuko safi sana acheni uzandiki, unataka Mspaniola auongee kingereza kama mbriteni? mbona waganda wanalfudhi mbovu na hamsemi? kwani mzee M7 anakiingereza gani cha ajabu, kiingereza kama lugha kila taifa wana lahaja yao ndio maana english ya muhindi ni tofauti na ya mchina
kwani ni msukuma?Bora kisukuma. English yenyewe anasoma lakini bado makosa kibao.
Ni shida, lakini ujumbe umefika
Kuna tatizo gani hapa? Si anaongelea Tz na Sa?