Hotuba ya Dr. Slaa Marekani ilivyotukuna tunaweza kuilinganisha na ipi ya Rais Kikwete kimataifa?

wow! Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna nchi na hata mtu
anaeweza kuendelea kwa kutegemea kusaidiwa material things au fedha
leo wamejifungia ndani wanajadili kuifirisi nchi kwa sheria kadamizi za gase.

wamewatoa nje wawakilishi wa wananchi.ccm ni ugojwa wa hatari unaohitaji kutokomezwa
 
leo wamejifungia ndani wanajadili kuifirisi nchi kwa sheria kadamizi za gase.

wamewatoa nje wawakilishi wa wananchi.ccm ni ugojwa wa hatari unaohitaji kutokomezwa

kwa hiyo waliobaki sio wawalikishi wa watanzania ?
 
ubora wake ni wa nini ?
hotuba yake ni kwa maslai ya nani?
kuwahotubia wazungu watusaidie nini sisi ?
ka mwambie aondokane na fikra za utumwa au pengine kuna kutu anapewa.
 
ukiacha marehemu nyerere , hakuna mwanaccm yeyote wa kumlinganisha na DR SLAA , huyu ni mandela aliye hai .
 
ubora wake ni wa nini ?
hotuba yake ni kwa maslai ya nani?
kuwahotubia wazungu watusaidie nini sisi ?
ka mwambie aondokane na fikra za utumwa au pengine kuna kutu anapewa.

kubishana na mtu masikini wa kiwango chako ni kupoteza muda .
 
leo wamejifungia ndani wanajadili kuifirisi nchi kwa sheria kadamizi za gase.

wamewatoa nje wawakilishi wa wananchi.ccm ni ugojwa wa hatari unaohitaji kutokomezwa

tutahakikisha uharamia huo unashindwa hata kwa maombi , Mungu ni mwema sana .
 
Hotuba kama hii ilawi kutolewa na baba wa taifa kipindi alipokwenda umoja wa mataifa kudai uhuru wetu! Bravo slaaa! Viva chademaaa
 
Back
Top Bottom