njiwamanga
Member
- Oct 21, 2010
- 35
- 3
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?

Mkuu, nimekuwa nafikiria hili kwa muda mrefu. Na ili kuwa na impact zaidi Chadema wanaweza kufanya hivi: Immidiately baada ya hotuba ya chama Tawala, wao wanatakiwa watoe yao ambayo kimsingi ni alternative views kuhusu mambo ambayo atakuwa ameongea mtoa hotuba wa CCM. Tukumbuke CHADEMA kazi yao ni kushawishi wananchi kuwa wao ni better kuliko ccm. Kwa hiyo kila hoja ya ccm wanatakiwa wajibu within 24hrs. Mfano kama hotuba ya ccm itakuwa Ijumaa basi Jumamosi isipite bila Chadema kutoa hotuba inayoonesha kwamba wao (chadema) watafanya vizuri zaidi ya ccm kwenye mambo yaliyoongelewa.
Nchi za wenzatu hasa Marekani wamekuwa wanafanya hivyo na impact yake ni kwamba inaupunguza kama si kuzima kabisa propaganda, na hata matukio ya Raisi kupewa takwimu zenye mgogoro zitapunguwa maana washauri wake watajua kuna kuumbuka kesho yake. Believe me hii itawapa kichaa CCM.
great idea wadau
TV GANI itaonesha?
siyo siasa tu, bali na ufisadi pia!chama makini kilipojenga udom mlisema sera yetu nyie mnakamati kuu mabaraza wenyevt wa wilaya na mikoa wa cdm na sasa mwatakakuiga hotuba ya kila mwezi igeni tu coz ccm walimu wa siasa tz
Mkuu, nimekuwa nafikiria hili kwa muda mrefu. Na ili kuwa na impact zaidi Chadema wanaweza kufanya hivi: Immidiately baada ya hotuba ya chama Tawala, wao wanatakiwa watoe yao ambayo kimsingi ni alternative views kuhusu mambo ambayo atakuwa ameongea mtoa hotuba wa CCM. Tukumbuke CHADEMA kazi yao ni kushawishi wananchi kuwa wao ni better kuliko ccm. Kwa hiyo kila hoja ya ccm wanatakiwa wajibu within 24hrs. Mfano kama hotuba ya ccm itakuwa Ijumaa basi Jumamosi isipite bila Chadema kutoa hotuba inayoonesha kwamba wao (chadema) watafanya vizuri zaidi ya ccm kwenye mambo yaliyoongelewa.
Nchi za wenzatu hasa Marekani wamekuwa wanafanya hivyo na impact yake ni kwamba inaupunguza kama si kuzima kabisa propaganda, na hata matukio ya Raisi kupewa takwimu zenye mgogoro zitapunguwa maana washauri wake watajua kuna kuumbuka kesho yake. Believe me hii itawapa kichaa CCM.
Kwa kuwa CHADEMA ndiyo chama kikuu cha upinzani hapa TZ waTZ wana penda kusikia ujumbe maalumu toka kwa viongozi wao wakuu wa CDM,na kwa kuwa chama tawala cha magamba wana hotuba ya kila mwezi basi tunaomba CDM waanzishe hotuba ya kila mwezi.Wana JF mnasemaje?
Hoyuba ni lugha gani ? CDM si chama cha kuiga kila kitu kutoka kwenye Chama Cha Magamba!