Hotuba nzima ya Edward Lowassa Arusha, alipokuwa anamiliki mifugo bado ndani ya CCM

Nasikia wanazi wa CHADEMA wamemchoka ila wenye CHADEMA hawawezi kumwambia awapishe kwa sababu bado anawadai pesa alizowapa kwa makubaliano ya kupewa tiketi za kugombea Urais wa Tanzania.
Kasimu Majaliwa na Magufuli ni miongoni mwa Team Lowassa , tunazo clip zao wakimpamba na kumuimba Lowassa , sasa kama hao nao ni mifugo basi sawa , Tuhuma za fedha bila uthibitisho ni aibu sana kwako na ni fedheha kubwa kwa wazazi wako pia
 
Hapa ni pale CCM "hamjamloga" yatokee yale ya Geita kama alivyosema Msukuma?
Yaani nyie ccm ni wabaya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom